Recent content by Rose1980

  1. Rose1980

    Simu ya siri

    Yawn we faaaalasi aw mwisho Siri ya familia?familia gani? Its practically anakucheat.akil kumkichwa chunguza utabaini.
  2. Rose1980

    Tatoo chini ya kalio

    kwani we mpya? au upya ni kwa wanawake tu? nyau.
  3. Rose1980

    Wako wapi hawa wadau?

    nimesikia kilio chako babu nimerudi sasa ili nikukune mtima wako
  4. Rose1980

    Elimu ya Lilian Mbowe

    ni daktar wa binadamu ni mama mzuri sana ana miguu mizuriii ,ana pesa ana elimu ana exposure lakin hajivuni hata kidogo pia ni mchakarikaji sana.umri wake na mwonekane wake TAFAUTI anaonekana kigori kwa kuwa anajua jinsi ya kujikipu....SINA UBIA NAE its just ukweli toka moyoni kiroho safeeeeeee
  5. Rose1980

    Aliyetimuliwa kanisani kisa vazi asema alionewa na kiatu chake cha "uingereza" kiriharibiwa!!!!

    Dzain ajui anachoongea uyu mfu tofali Anapondaaaa ata ajui anachoponda Mungu mwanamke?ndo kakobe kakwambia ivo? Dini ninin Din ipi waumin wake ni wasaf hawana dhambi Unaijua falsafa ya bkra maria? Mhh ebu niachane.nawewe isje kuwa natokwa na povu kwa mtu aso ili wala lile ktk i mada
  6. Rose1980

    Aliyetimuliwa kanisani kisa vazi asema alionewa na kiatu chake cha "uingereza" kiriharibiwa!!!!

    Yaan wewe kweli tofal la kujengea banda la panya....sasa ebu nambie kanisa gan ilo ambalo.waumin wake. Sio makahaba Mafisadi Walev Wazinz Waasherati Ivi unajua maana ya kanisa? Wakat unaandika.aukubanwa na uharo we kilaza? Ur so min. Afu dzain ushakufa unasubir KUFARIKI tu...RIP.
  7. Rose1980

    Mjihadhari na maji ya kilimanjaro...mengi feki

    mseminar wa maua seminar? kanywe maji ulale...maji ni divai...
  8. Rose1980

    Mjihadhari na maji ya kilimanjaro...mengi feki

    aibu ya nin..ntakuchambisha na kilimanjaro ebooo:embarrassed1:
  9. Rose1980

    Mjihadhari na maji ya kilimanjaro...mengi feki

    kwani siye tunanunua wap? u dont know the game my dear..ao wanaotengeneza fek wanashirikiana na wafanyakaz wasio waaaminifu wanaosambaza izo bdhaa so mwenye duka anajiridhisha kabsaaa..ahh asi nimenunua kwenye gar lao kabsa...nimenunua depot pale ahh kumbe siku mingiiiiiii watu washafanya yaoo
  10. Rose1980

    Mjihadhari na maji ya kilimanjaro...mengi feki

    ahh wanaboa yaan jaman..nilishawai kuona jinsi watu wanavyojaza maj SITATAJA MAJI GANI NILIYOYAONA ENZI IZO kwenye chupa yaan dahh..ucchafuuuu jaman wanayajaza kwenye chupa wanabandka lebo wanaweka silid apo juu then gud to gooo..t was long tyme ahh so nilivyoona mabadiliko kwenye kilimanjaro...
  11. Rose1980

    Mjihadhari na maji ya kilimanjaro...mengi feki

    na ivyo vipimo asi rahisi tu kuprint...ugumu upo wap? asi kikaratasi kile tu mtu unaprint unabandika
  12. Rose1980

    Mjihadhari na maji ya kilimanjaro...mengi feki

    mjombaaa wala sijakwambia nimepima kwa kutumia ivyo vgezo vyako...nimekwambia ladha na rangi yake plus chupa zake ukiangalia kwa makin si km vile tulivyozoea..sasa wewe mkemia mkuu ndo nakupa kazi ukayafanyie iyo kemia yako sjui nini afu uje na details apa...sawa??????????? afu sjaleta u usi...
Back
Top Bottom