Recent content by rorena

  1. R

    JamiiForums Tanzania The benefits of being a mistress

    mi nakusapoti kabisa. hakuna haja ya kutunza shamba kwa ajili ya "muhindi" mmoja
  2. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Sijaona siku zangu miezi mitatu

    Habari ndugu zangu. mi ni mama wa mtoto mmoja nina miezi mitatu sasa sijaona siku zangu, Nimepima mimba mara tatu na hospital tofauti tofauti inaonyesha sin mimba sasa sijui tatizo ni nini? Na sijawahi kutumia njia yeyote ya uzazi wa mpango wala hali hii haijawahi kutokea tangu niivunje ungo.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hadithi;The girls in island -11

    tupe muendelezo basi
  4. R

    JamiiForums Tanzania Masimulizi: Beyond Pain

    tunachoka kusubiri jaman
  5. R

    JamiiForums Tanzania Shamba heka 5 kwa ml3

    Kwa watu wa Tanga shamba lipo Kwadizinga barabara ya Dar - Tanga Mawasiliano 0684 484438
  6. R

    JamiiForums Tanzania Shamba heka tano kwa mil3

    ukitoka segera kama unaelekea dar unaanza michungwani then kwadizinga ndio uje kabuku
  7. R

    JamiiForums Tanzania Shamba heka tano kwa mil3

    Kwa wakazi wa tanga, shamba lipo maeneo ya kwadizinga mbele ya michungwani kwa anaehitaji Mawasiliano 0684 484438
  8. R

    JamiiForums Tanzania nauza shamba heka 5 lipo TANGA

    Karibuni wadau. kwa anehitaji shamba lipo kwadizinga barabara ya tanga dar. bei maelewano nichek namba 0684 484438
  9. R

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa Tanga

    sema kama unataka
  10. R

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa Tanga

    Kwa wakazi wa Tanga, shamba Heka 5, eneo ni Kwadizinga Shule, mbele ya michungwani. Bei ni nafuu! Mawasiliano ni; 0684 484438
  11. R

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    tecno p9 250000 nipo arusha
  12. R

    JamiiForums Tanzania PSPF mbona wasumbufu katika kulipa mafao?

    kitu kingine ni hizi ela za miezi mitatu mitatu. mwezi wa nne watu walilalamika sana mwezi huu wamerudia tena. pspf mnakera
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mwanzilishi na Bosi wa Tip Top Connection, Abdul Bonge afariki dunia

    R.I.P.Tulikupenda ila mungu amekupenda zaidi
  14. R

    JamiiForums Tanzania Je, una matatizo ya mahusiano na mke mume au mchumba

    napita tu
Back
Top Bottom