Habari ndugu zangu. mi ni mama wa mtoto mmoja nina miezi mitatu sasa sijaona siku zangu, Nimepima mimba mara tatu na hospital tofauti tofauti inaonyesha sin mimba sasa sijui tatizo ni nini?
Na sijawahi kutumia njia yeyote ya uzazi wa mpango wala hali hii haijawahi kutokea tangu niivunje ungo.
Na sijawahi kutumia njia yeyote ya uzazi wa mpango wala hali hii haijawahi kutokea tangu niivunje ungo.