Recent content by rootsquare

  1. R

    IKULU: Rais Magufuli apokea ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa madini. Amtaka Waziri Muhongo ajiuzulu

    Hujui moja inaharibu Tisa , kwenye sayansi kosa kidogo matokeo tofauti kama kweli anania nzuri ya kubadisha nnchi aguse wote mpaka bashite
  2. R

    Uefa Champions League: Leo ndio hukumu ya Real Madrid

    Real atakuja kutolewa na juve sio bayern
  3. R

    Uzi maalum wa wanaJF ambao tuna imani kubwa na ushindi wa North Korea

    Hivi vita sio nzuri italeta mazala kwa uchumi wa dunia huenda dola ikashuka thamani, huu ni mtego wapanya wataingia na wasio kuwemo tuombe Mungu aipushie mbali
  4. R

    Wanaume wanaofanya hivi huwa wanamaanisha nini? Bado najiuliza

    Ukiona hivyo ujue anajua udhaifu wako, hivyo kakuepushia lawama kuwa umeua mtaji, ila mimi nina experiance ya kuwafungulia mama yangu na dada angu biashara zikafa kuja kufuatilia ni watu walama kwa wafanyakazi yaani wasaidizi kuliko kutafuta source of failure yaani ni hivyo kwangu mie naona
  5. R

    Mauaji ya Askari Polisi ni matokeo ya Jeshi la Polisi kupuuzia mambo

    Dah hii ni kweli, polisi ifanye kazi kwa weledi sasa mimi ni muhanga wa kukurupuka kwa polisi mjomba aligombana na mtu mwingine polisi walivyo mkosa wakaja kunibeba mimi full vipigo na pingu mtaani watu wanashangaa huyu kafanya nini , kumbe ni jambazi nakumbuka mpaka sasa huwa najawa na hasira...
  6. R

    Mahusiano/ uchumba

    Dada ulisha sikia mwanaume ametiwa na mwanamke au ametombwa na mwanamke?
  7. R

    Mahusiano/ uchumba

    Ahsante Mchungaji nimeona hatari ya kufa kwa hii dhambi hivyo nimeamua kutulia kwanza kabla ya kuanzisha mahusiano mapya mpaka nimjue vizuri
  8. R

    Mahusiano/ uchumba

    Basi kutiwa na kuaacha hapo naona utaelewa zaidi
  9. R

    Wanaume warefu weupe

    Atakuwa anapenda wanaume warefu weupe halafu kila mara wanamtenda
  10. R

    Mahusiano/ uchumba

    Mambo unayo kutanayo katika mahusiano unaweza ishia kuwa kicheche tu na kuwavua nguo hawa dada zetu nakusepa wengi wao hawapo kiwife material , maisha yao katika mahusiano ni ya kitamthilia zaidi kuliko uhalisia. Hakuna mpango endelevu na hata ukimfanyia anayo yatamani bado mjue mpo watatu...
  11. R

    Vladimir Putin Warns Israel To Leave Syrian Airspace Immediately Or Russia Will Take Action

    Je unajua kuwa warusi ni wanafiki , wakati israel wanaenda kuangamiza kinu cha Nuclear cha Syria warusi waliwauzia Israel secrete code za radar , soma hiyo au angalia Youtube story nzima , pili Israel ali angamiza kinu cha nuclear cha Iraq bila wao kurudi kulipa kisasai , Wameunda kitu...
  12. R

    Vladimir Putin Warns Israel To Leave Syrian Airspace Immediately Or Russia Will Take Action

    Aliwa Twanga kisawa sawa muungano wa syria, jordan, iraq wakiongwa na misri kama ndio jemadari wao ndani ya siku sita wakawa hoi, inaitwa six days war.
  13. R

    Vladimir Putin Warns Israel To Leave Syrian Airspace Immediately Or Russia Will Take Action

    Akija yeye atawafurusha kabisa waende kwako uarabuni huko
  14. R

    Vladimir Putin Warns Israel To Leave Syrian Airspace Immediately Or Russia Will Take Action

    Now I know you, unamapenzi na wapalestina , ila nduguzo imekula kwao hawana nnchi hao ndugu zako wataishi kama wakimbizi mpaka aje Yesu
  15. R

    Vladimir Putin Warns Israel To Leave Syrian Airspace Immediately Or Russia Will Take Action

    Kijana soma historia utakujua hakuna Taifa linalo itwa Parestina , parestina ilikuja baada ya empire rumi kujaribu kubadisha jina la israel baada ya kuona waisraeli wanishi hawatawiki kirahisi
Back
Top Bottom