Uefa Champions League: Leo ndio hukumu ya Real Madrid

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
1,410
3,548
Bingwa mtetezi Real Madrid anaenda kuvuliwa ubingwa wake na Bayern Munich usiku wa leo pale dimbani Santiago Bernabeu.

Kurudi dimbani kwa Roberto Lewandowski ni dalili njema kuwa Bayern Munich ama " The Bavarians " watatakata na kuitoa mashindanoni Real Madrid ambayo katika siku za karibuni wamekuwa na fomu isiyokuwa nzuri kwa wachezaji wake wa mbele yaani BBC.

Kama ilivyo ada, Bingwa mtetezi hawezi kuchukua mara mbili hivyo leo ni siku nzuri kwa Real Madrid kufurumushwa nje ya mashindano.
Mechi ni saa 3:45 usiku
58f5387446de6.jpeg
 
Ngoja yule jamaa wa kucheza na namb shufwa , witiri, tarehe nyota na herufi aje!
 
Back
Top Bottom