Wazo Langu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 1,381
- 842
Hivi inakuaje mume anasafiri anaacha vitu vyake chini ya uangalizi wa rafiki wakati ana mke wa ndoa kazaa nae na watoto?
Mke ana mtoto, ni mwajiriwa na anajiendeleza kielimu. Wana magari mawili, la biashara na la kutumia wenyewe nyumbani.
Mume kapata safari ya mwaka mmoja nje ya nchi kikazi kakabidhi gari la kutembelea kwa rafiki yake, kakabidhi dereva wa gari la biashara kwa rafiki. Dereva anaweka pesa kwenye akaunti aliyopewa halafu anapeleka taarifa kwa rafiki. Matengenezo ya gari anaambiwa rafiki.
Hii imekaaje?
Nimekumbuka kipindi tupo chuo kuna jamaa alikuja na gari lake kutoka Same hadi Dar analipaki tu. Eti kuliacha kwake usalama mdogo bora awe analitazama.