Recent content by rom

  1. rom

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    maradhi yapo mengi, uchunguzi ni muhimu sana.
  2. rom

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    je kwa wenye bawasiri ya ndani, huo utomvu wanaingiza ndani?
  3. rom

    JamiiForums Tanzania Unyanyasaji wa kampuni za ulinzi Arusha

    kuwa wazi mkubwa.
  4. rom

    JamiiForums Tanzania Products za Dynapharm nitazipata wapi?

    Naomba kujua kujua products za dynapharm nitapata wapi kwa hapa arusha.? Kama kuna wakala na mawasiliano yake.
  5. rom

    JamiiForums Tanzania Nafasi za mahakimu

    hata mimi nasikilizia mkuu nilisikia zinakuja kama nafasi 300 hivi...
  6. rom

    JamiiForums Tanzania Kibanda amemuudhi nani?

    Mungu amjalie apone haraka... ila waandishi wa habari kalamu zao ni hatari sana kama hawako makini..
  7. rom

    JamiiForums Tanzania King'amuzi cha StarTimes: Dawa yake hii hapa

    kama kingamuzi chako kinaonyesha local channel tu inabidi ukalipie ili upate matangazo mengine vizuri, kama unapata channel chache inabidi ulipie zaidi, mfano kuna channel za sh. 9000/- kwa mwezi, 18,000/- na elfu 36. hapo utapata channel zote zinazotolewa na star times, kama picha zinakwama...
  8. rom

    JamiiForums Tanzania Je, mwanaume anaweza kumbaka mke wake wa ndoa?

    Haya nimeyaona, unajua tuliopo kwenye ndoa maranyingi tunapata shida sana pale unapokuwa na mke halafu muda mwningine anakufanyia makusudi, mfano toka ukiwa kazini mfano umempigia simu na kumtaarifu jambo lako...na bila sababu jioni unajua utapata,ikifika muda anaanza kuleta shida mara...
  9. rom

    JamiiForums Tanzania Al-jazeera islamic center yaishukia mtanzania

    :a s 39:
  10. rom

    JamiiForums Tanzania Kunyoa sehemu za siri.

    afuge kama hizi
  11. rom

    JamiiForums Tanzania Ukitaka usimchukie mpenzi wako, usichungulie tupu yake

    wengine wanapaka asali kuongeza ladha...... upendo unazidi...
  12. rom

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kumtema mazima.

    hapo ulikuwa unaingilia mapenzi ya watu.......
  13. rom

    JamiiForums Tanzania Nimeona utupu wa mke wa mtu,,sasa imekuwa tabu!! Ushauri

    pole kijana......kaka mke wa mtu ni sumuu tena ya mamba achana nae....wala usiwe na mazoea nae... mwambie asikuzoeee...
  14. rom

    JamiiForums Tanzania Natarajia kufunga ndoa mwezi wa nne

    karibu kwenye ndoa.....shikamana na mwandani wako....ndoa ni nzuri, ila ni vizuri ukaishi kwa kufuata mipaka ya ndoa utaipenda na kuona maisha ni mazuri lakini ukitaka uishi kama ulivyoishi ukiwa bachelor ndoa itakushinda.....
Back
Top Bottom