Amon Mahamba
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 399
- 64
Mkuu wa mkoa Arusha tunakuomba kufuatilia majipu huku kwenye KAMPUNI ZA ULINZI Arusha kwani unyanyasaji umekithili watu hufukuzwa bila ya sababu pia wakijinasibu kuviteka vyombo vya Dola kama vile Polisi,Idara ya kazi/ CMA,unapokimbilia unakuta ukuta mkubwa sasa tukuombe uzifanyie ukaguzi,Rushwa za mafuta ya gari kwa vyomba vya Dola vinafunga haki na Usawa chunguza utapata jibu