Natarajia kufunga ndoa mwezi wa nne

Natarajia kufunga ndoa mwezi wa nne

karibu kwenye ndoa.....shikamana na mwandani wako....ndoa ni nzuri, ila ni vizuri ukaishi kwa kufuata mipaka ya ndoa utaipenda na kuona maisha ni mazuri lakini ukitaka uishi kama ulivyoishi ukiwa bachelor ndoa itakushinda.....
 
Hongera shost,sio ndoa zote zina matatizo kama wanavyokutisha wapo wengi sana wanaosheherekea silver,gold na hata platinum jubilee zao kwa raha na amani sasa kwa nini wao iwezekane na kwako ishindikane.
 
Kila kheri mamie,ukiingia kifungoni usitamani tena kuchungulia nje eti eh?
 
Karibu sana, hakika
Karibu sana Dada giLESI kwenye chama chetu, tunafuraha ya kufahamu kuwa wee ni mmoja wetu katika chama chetu. Usiogope, kama uonavyo nchi ina Rais na makamu, na sheria zake, basi na wewe ndoa yako ni nchi yenye Rais na makamu na sheria zake. USIINGIE KWENYE NDOA NA MIZANI YA EVA, Nina maana gani , kuwa usiige ndoa ya shogayako ukaleta kwako. ya kwako fanya kama ya kwako.
Mwiko kutoa siri za ndani kuwaadithia mashoga zako.

MEGINE MENGI NITAKUJA KWENYE KITCHEN PART NITAKUGUSIA.
 
Ndugu zanguni wana JF, napenda niwashirikishe furaha yangu kuwa mwezi wa nne nakaribia kufunga ndoa.
Nakaribisha michango ya hali na mali.
Asanteni

Nimeshaanza kunusa harufu yako lol. Yaani kila siku wapita kuchukua mchango kumbe ni wewe, haya tupo pamoja.
 
Karibu sana Dada giLESI kwenye chama chetu, tunafuraha ya kufahamu kuwa wee ni mmoja wetu katika chama chetu. Usiogope, kama uonavyo nchi ina Rais na makamu, na sheria zake, basi na wewe ndoa yako ni nchi yenye Rais na makamu na sheria zake. USIINGIE KWENYE NDOA NA MIZANI YA EVA, Nina maana gani , kuwa usiige ndoa ya shogayako ukaleta kwako. ya kwako fanya kama ya kwako.
Mwiko kutoa siri za ndani kuwaadithia mashoga zako.

MEGINE MENGI NITAKUJA KWENYE KITCHEN PART NITAKUGUSIA.

Penzi lako ulilonipa jana saa sita usiku lilikuwa tamu mno
 
Penzi lako ulilonipa jana saa sita usiku lilikuwa tamu mno
Mh! :confused2::confused2::confused2::confused2:!!!!!!!!!!!!!!!! una maana gani???????????????????
 
kila la heri mamito M/Mungu akaibariki na kuwajalia Amani, Upendo, kuchukuliana kwa pamoja
 
Back
Top Bottom