Jobalo josiah
Member
- Feb 5, 2013
- 69
- 4
Hivi wanajamii hii hoja ni kweli au ndo changa la macho. Nyie watu wa startimes hampo huku ili mtoe maelezo. Mie ya kwangu imezima kabisa hata local channel hamna.
napata chanel kumi na tano tu,sijui nifanyeje kupata zote...kila nikiwaza kuhusu utawala huu napata hasira,hivi kwa nini wanatuuzia habari. Unanua king'amuzu tena unaanza kulipia hili swala linahitaji mjadala wa kitaifa.!
Hivi wanajamii hii
hoja ni kweli au ndo changa la macho. Nyie watu wa startimes hampo huku
ili mtoe maelezo. Mie ya kwangu imezima kabisa hata local channel
hamna.
Ha ha ha.. Mkuu tutaweza unasema haya matatizo tutayamaliza kwa kuwaondoa hao sawa.. Lakini kwa wakati huu bado niko Jehannum.. naendelea kupigwa jua.. kunyimwa mahitaji yangu ya muhimu.. kutokuwa na uhakika wa kufika kesho.. kupangiwa cha kufanya na mbaya zaidi kunyimwa uhuru wangu ambao ni haki yangu ya msingi kabisa..
Lakini hawa jamaa (Startimes) wanaweza kuturuka kwenye suala la uhuru wa kupata habari kwa mujibu wa katiba. Kwa sababu katiba hiyo haijafafanua kama ni kupata habari kwa kununua au bure..! Maan unaweza kuwa na uhuru wa kupata habari kwa kununua na pia unaweza kuwa na uhuru wa kupata habari bila kununua habari hiyo...! Rejea vyanzo vingine vya habari za serikali kama magazeti...jamani si uhuru tulionao hapo ni ama kutonunua ama kununua habari iliyomo kwenye magazeti !?
Labda kabla mchakato wa katiba mpya haujafungwa basi hili nalo katiba mpya itabidi iandaliwe kwa namna ya kulitolea ufafanuzi wa kina jambo hili.
aisss kumbe hii ndo philosophy behind!!!Nina rafiki yangu alipata ajali hali yake ilikuwa mbaya na alifikia hali ya kutokuweza kupumua vizuri, nilishangazwa na uamuzi wa madakitari walichukuwa kifaa kimoja na kugandamiza kifuani mwake, rafiki yangu ghafula akashituka na akawa anapumua vizuri. Baadaye niliwauliza ni dawa gani waliyomwekea rafiki yangu iliyobadilisha hali ya afya yake kuimarika kwa haraka namna ile, waliniambia kile kifaa kina umeme, na kitu walichofanya ni kushitua mwili wake kwa umeme ndiyo maana afya yake iliimarika kwa kasi ya ajabu.
King'amuzi changu kilikuwa ICU nilipokumbuka utabibu aliofanyiwa rafiki yangu, niliamua kukishitua kwa shoti ya umeme na kweli kilishituka na kutoka ICU hadi sebuleni kila mtu akikifurahia hata sasa.
Nawashauri kampuni ya StarTime washitue ving'amuzi vyao kwa shoti ya umeme kabla ya kuvipeleka sokoni.
Nina rafiki yangu alipata ajali hali yake ilikuwa mbaya na alifikia hali ya kutokuweza kupumua vizuri, nilishangazwa na uamuzi wa madakitari walichukuwa kifaa kimoja na kugandamiza kifuani mwake, rafiki yangu ghafula akashituka na akawa anapumua vizuri. Baadaye niliwauliza ni dawa gani waliyomwekea rafiki yangu iliyobadilisha hali ya afya yake kuimarika kwa haraka namna ile, waliniambia kile kifaa kina umeme, na kitu walichofanya ni kushitua mwili wake kwa umeme ndiyo maana afya yake iliimarika kwa kasi ya ajabu.
King'amuzi changu kilikuwa ICU nilipokumbuka utabibu aliofanyiwa rafiki yangu, niliamua kukishitua kwa shoti ya umeme na kweli kilishituka na kutoka ICU hadi sebuleni kila mtu akikifurahia hata sasa.
Nawashauri kampuni ya StarTime washitue ving'amuzi vyao kwa shoti ya umeme kabla ya kuvipeleka sokoni.
Nilidharau hizo warning, kwa sababu nilikuwa siwezi kuona chochote hadi nilipochomoa kadi na kuingiza upya, kama bado inaleta shida jaribu kusugua kadi kwa kitambaa kisafi kabila ya kuchomeka tena, vumbi nalo linachangia picha kugandamana.
Asante, natanguliza ahsante, sasa mie wa huku mchamba wima hilo ndio tatizo langu ,na signal strengh ina range 50-65,signal quality ndio usiseme 10-30++.halafu kuna warning katika card kwamba usiichomoe au kuiingiza wakati decoder ipo ON.Je unadhani hakutatokea madhara yeyote though I have nothing to loose as the 'thing' just gives me headaches.
Ahsante Asante!
Kwa watumiaji wa king'amuzi cha StarTimes.
Picha kugandamana, sauti ya kigugumizi dawa yake hii hapa:-
Washa king'amuzi chako fungua mlango wa kuingizia card upo mkono wa kulia.
Chomoa kadi bila kuzima, kisha ingiza card tena.
Kwa muda wa dakika tatu utaona kugandamana kunazidi na sauti za ajabu ajabu.
Baada ya dakika tano, muonekano wa vipindi utaonekana vizuri sana, sauti za watangazaji zitasikika vizuri.
Nina zaidi ya wiki moja ninafurahia vipindi vya TV bila picha kugandamana tena na sauti za kueleweka kusikika.
Kwa watumiaji wa king'amuzi cha StarTimes.
Picha kugandamana, sauti ya kigugumizi dawa yake hii hapa:-
Washa king'amuzi chako fungua mlango wa kuingizia card upo mkono wa kulia.
Chomoa kadi bila kuzima, kisha ingiza card tena.
Kwa muda wa dakika tatu utaona kugandamana kunazidi na sauti za ajabu ajabu.
Baada ya dakika tano, muonekano wa vipindi utaonekana vizuri sana, sauti za watangazaji zitasikika vizuri.
Nina zaidi ya wiki moja ninafurahia vipindi vya TV bila picha kugandamana tena na sauti za kueleweka kusikika.
Nilidharau hizo warning, kwa sababu nilikuwa siwezi kuona chochote hadi nilipochomoa kadi na kuingiza upya, kama bado inaleta shida jaribu kusugua kadi kwa kitambaa kisafi kabila ya kuchomeka tena, vumbi nalo linachangia picha kugandamana.
kwa ukweli mi naogopa kuchomoa na kuchomeka kwa sababu huenda nikakosa hata hii migandano...! kama kuna aliyejaribu akafanikisha aje atueleze kbla wengi hatujaingia mkenge!