Recent content by rolugo

  1. R

    Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

    Jamaa wamevaa kofia za ccm wanapita kariakoo wanaelekea lumumba,hawajiamini kabisa,wanahisi kama watavamiwa vile....
  2. R

    Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

    Mbaya zaidi hao wasanii waliopo hapo karibu wote,huwa nazipenda kazi zao,kuanzia leo hii nakuendelea sina mpango nao tena,nimeziharibu vicd na vidvd vyao tupilia mbali.
  3. R

    HOW AM I DRIVING?? Call this number

    Jamaa mmoja baada ya kusumbuliwa sana na gari lililokuwa mbele yake,akaamua kuchukua namba iliyoandikwa nyuma ya gari,nakuipiga,aliyeipokea alimuuliza shida nini,jamaa akasema huyu dereva wa gari yako nadhani hafai kuendesha hili gari,inaonesha sio mstaaarabu na si mtumiaji mzuri wa...
  4. R

    CHADEMA yagaragazwa vibaya Iramba,CCM yachukua vijiji vyote

    Hakika umaskini umekua sehemu ya maisha yetu,hata kuucha imekua ni vigumu nafsini mwetu.duh very sad.
  5. R

    CHADEMA yagaragazwa vibaya Iramba,CCM yachukua vijiji vyote

    Jamani naomba nisaidiwe,wanawapi ujasiri wa kufanya haya,inamana hawaoni mambo yanaendelea katika nchi yetu,inauma sana Mungu Atusaidie sana.
  6. R

    KITILA MKUMBO: CHADEMA inakua, CCM inasinyaa, lakini kwa kasi ndogo!

    Siwaelewi kabisa watu wa iramba,wanaingalia vipi kesho yao na za watoto wao inasikitisha na inauma sana.
  7. R

    CCM wabwagwa tena na CHADEMA katika uchaguzi wa marudio Getarer,Mbulu

    nimeipenda hiyo stail ya kuchukua pesa zao ila kura mmewatosa,big up wana mbulu,ni somo tosha kwa watanzania,,,
  8. R

    Wenye visimbuzi (ving'amuzi) vya Startimes.. mnapata signals..

    mimi mwenzenu tangu tar 1 mwezi wa tatu hakifanyi kazi,nimebadilisha antena mbalimbali hakuna kitu,nimefunga zuku,tatizo na wenyewe local chanels hawana zaidi ya tbc na chanel 10,nafikiria kuijaribu digtek,sijui mnanishauri vipi wanajf
  9. R

    Hodi wana CHADEMA

    biblia inasema mtu mmoja akiokoka duniani,mbingu huwa inazizima kwa furaha,karibu sana dada,siamini kama utakuwa pandikizi la yule jamaa wa cd.
  10. R

    TBC: Kwa hili mnapotoka

    Mwambie aniige mimi,huwa naiangalia huku nimeshika remote mkononi,tatizo zuku hawana local chanel zaid ya tbc na ch 10,wakiweka zile habari zao huyooo qtv kuangalia mieleka.hadi raha
  11. R

    TBC: Kwa hili mnapotoka

    Mwambie aniige mimi,huwa naiangalia huku nimeshika remote mkononi,tatizo zuku hawana local chanel zaid ya tbc na ch 10,wakiweka zile habari zao huyooo qtv kuangalia mieleka.hadi raha
  12. R

    Mtanzania: Dr. Slaa atajwa kumtuma Ben Saanane kummaliza Zitto

    Najutia muda wangu kusoma huu upuuzi,ningekuwa nimeshaingiza hel kibao,
  13. R

    CORD Raises Credibility Concerns Of Results Being Released.

    Tuache ushabiki usio na msingi,tuwaombee hawa jirani zetu,ili Mungu awaepushe na machafuko,bado hali ni tete hadi sasa.
  14. R

    YESU amenipa kazi UN

    ======== Wale wagonjwa kumi wa ukoma waliomwendea YESU awaponye, wote waliponywa,kwa hiyo hata hao wengine wenye experienceskama wangeingia kwa hiyo interview kwa kuliitia jina la YESU wote wangepata kazi,huwa anafanya mambo juu ya kawaida.
  15. R

    Mtela Mwampamba kuanika ukweli kuhusu Masalia na muasisi wa PM7 leo tar. 21-1-2013, EATV (Hot-Mix)

    Pia asisahau kutupa mbadala wa jinsi ya kuondoa umaskini katika nchi yetu,mafisadi wanaoharibu nchi yetu hatima yao ni nini
Back
Top Bottom