TBC?
Ipi?
Ile ya udaku na taarabu?
Ile ya chama cha wakoloni wazawa?
Dingi yangu ni Miongoni mwa magamba lakini katu hawezi kuangalia Tbccm.
INAKUAJE UNAANGALIA TBC?
Huna kazi ya kufanya?
Ni bora ulale kuliko kuicheki hii tv.
Mwambie aniige mimi,huwa naiangalia huku nimeshika remote mkononi,tatizo zuku hawana local chanel zaid ya tbc na ch 10,wakiweka zile habari zao huyooo qtv kuangalia mieleka.hadi raha