Recent content by ROLLYONE

  1. R

    Nauliza hao viongozi hawakusikia njaa toka asubihi uwanjani hadi saa tisa?

    Mbona sijawahi kuona hata mmoja akisimama na kuondoka kwny kiti chake?
  2. R

    Nauliza hao viongozi hawakusikia njaa toka asubihi uwanjani hadi saa tisa?

    Ndg yng umefikiria sn. Mm na ww tujiulize coz wote inawezekana hatujui
  3. R

    Msaada tafadhali, anataka kuniroga

    Kuroga sio issue ningekuwa mm ningekuf..r.a kenge ww
  4. R

    BAVICHA kikosi kinacholeta ushindi kwa Watanzania Kalenga!!!

    Wamejipangaje dhidi ya wizi wa kura? Coz siku Hz ''chuma ulete'' hadi kwny kura yaani mnapigiwa kura nyng halafu wanashinda wengine. Hilo wanalijuwa chadema? Au ni kelele za chura zisizomzuia ng'ombe kunywa maji?
  5. R

    Huyu Ridhiwani ninani???

    Umepaniki brother
  6. R

    Skendo: Vigogo wa Polisi wadaiwa kumtorosha KAPUYA baada ya denti aliyedaiwa kubakwa kumfungulia kesi

    Kweli mwenye pesa c mwenzako ila kapuku kama ww! Ungeshafungwa ck nyingi.but it's only in tz.nafanya mpango wa kubadili uraia mm nimechoka na utz
  7. R

    Maoni yangu juu ya Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi (BRT)

    Tatizo la wabongo ndio hili;kujifanya kujua kila kitu.takeni kuelewa kila kitu na siyo kujua kila kitu.subirin mradi ukamilike thn mwongee sasa hivi ni mapema mno
  8. R

    Habari mpya napata JF

    Stay on line/stay tune
  9. R

    Kipindi cha bibi bomba kinadhalilisha bibi zetu

    Sasa tuandamane basi kupinga kudhalilishwa bibi zetu.yule kijana anayejiita mme wao bado kidogo ''atawananihi''stupid
  10. R

    Lugha ngongana!

    kwani hapa ilipo ni wapi? Au ulipotoa comment yako hukujua kuwa upo jukwaa la jokes? Hapa ndipo kwenyewe babu karibu.
  11. R

    Ratiba ya uzee

    za mchana hizo!!
  12. R

    Wanawake kuishinikiza serikali iwasaidie waolewe...

    asilimia kubwa ya watoto wa mitaani wanatokea huko.kuoa rahisi kutunza majanga.ss hapana bana!!mungu wetu ss hataki huo uchafu.angetaka hivyo angempa adamu mke zaidi ya mmoja bustanini
  13. R

    kwa Alieoona kilichotokea juu Angani mida hii ya usiku....

    Hizo ni rasharasha tu sasa subirini ujio wa masiya yesu kristo mungu wa kweli ndio mtamjua ni nani siku hiyo.mtakapoona anga linapasuka mawe yanazungumza mvua inanyesha kutoka chini kwenda juu,mchana kunakuwa usiku yaani spati picha itakuwaje hasa kwa ninyi msiomkubali mtaomba ardhi ifunguke...
  14. R

    Kizungumti: Polisi Kenya wamwachia Mtuhumiwa Ugaidi Raia wa Uigereza

    Inawezekana wametishwa na uingereza.sasa ili wasikose misaada yao wakaamua kumwachia.this is africa kujitongozesha.
  15. R

    TV za Kenya ni za Kizalendo

    Asilimia kubwa ya vyombo vya habari tz ni vya watu binafsi na vinaendeshwa kwa hela za matagazo kwahiyo wanafikiria maslahi zaidi hasa kwny matangazo.sasa kuwaambia watumie masaa 12 hela haingii.siku hizi pesa mbele utu nyuma.tbc wanapata ruzuku serikalini ila hawajali taifa lao ni wazembe...
Back
Top Bottom