Jana jirani yangu mwanamke kaniita ndani kwake nimrekebishie tv yakenikaenda kweli nikamrekebishia nimemaliza nataka kuondoka akanizuia akaachia khanga yake hukundani hajavaa kitu na baridi hili tukaanza kuburudika wakati tunaburudika mumewe akagonga mlango harakaharaka nikajificha yule mwanamke akamfungulia mlango mwanaume akapitiliza mojakwa moja chooni nikavaa fasta nikakimbia kumbe niliisahau boxer yangu kwa kuwa kwetu uswazi leo naamka naona ile boxer kaianika na tangazo juu "mwenye hii boxer ajitokeze asipojitokeza baada ya sikutatu namroga" hapa sina raha kabisa na baadhi ya marafiki wangu wanaijua kwa kuwanavaaga mlegezo sijui nijitokeze au ningoje kurogwa

Angalia yasikuunguzeujana maji ya moto
ujana maji ya moto
kumbe ndiyo maana akili zako ni matope, umepatia kabsa hakuna mtu anayependa na kufatilia muziki wa hiphop asiweze kuvaa kata "k". kumbe wewe ni mkata kiuno nigekuwa mchawi nigemsaidia huyo baba akuronge! lara 1 ushawahi kuiona hii ya mubabe wako.
si bora aniue tu