Tanganyika jeki
JF-Expert Member
- Jun 12, 2011
- 243
- 87
Huo ni mtazamo wako tu Lakini waKenya hadi hii leo waQUESTION Big Suali " Vipi hao vijana waliweza kuingia na SILAHA NZITO ndani ya MOYO wa NBR haswa ndani ya soko la WESTGATE na kupitisha, kupandisha gorofaniii? Zikaweza kudumu for 3 to 4 days ? !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! TV ni changa la macho..... open your eyes not your MOUTH.
Ukistaajabu ya Kenya utaona ya Tanzania. Roli labeba wahamiaji haramu mpaka katikati ya nchi bila kugundulika. Bomu lapigwa mkutanoni yapuuzwa kwa kusema wamejilipua. Na vipi kuhusu TBC kuonesha ndombolo wakati meli ya zanzibar ikiwa imezama. Angalau wakenya kama nchi na taifa hawana kiwango cha upuuzi wetu hasa serikali yetu