Recent content by rolla

  1. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji vindama vya mbuzi

    Wala hauhitaji kibunda wa nyumbani. Anza na ulichonacho na anza sasa.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kama Iran anataka kupambana na Israel basi awekeze kwenye ujasusi zaidi kuliko makombora na drones

    Hizi ni akili za ugali na vidagaa Mchele. Nitakuwa wa mwisho kuamini kama unajua unachokipngea. Basi kama unakijua huwezi kukijua kuliko strategists wa iran
  3. R

    JamiiForums Tanzania Fanya biashara hizi kama una mtaji kiduchu

    Umenichekesha na hurrier nyeusi. Kuna mwaka mwaka nilikuwa naona hilux. Niliishia kununua Suzuki carry. Nikarudi Tena na Tena atimaye 01.04 ndoto ikatimia Sasa naanza safari ya canter. Aruta continua
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kuku wangu wa mayai wamegoma kutaga wanaelekea week ya 19

    Vipi kuku walishataga?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ajira: Anahitajika Dr wa mifugo

    Mrejesho. Tulimpata mdada mmoja makini Sana. Kuna mtu ameuliza mshahara: sisi tunatoa posho ya kujikimu, malipo yatakuwa kwa asilimia tuliyokubaliana kwenye Faida kila tarehe 31/12 baada ya kutoa gharama za uendeshaji. So far so good. Tunawashukuru wote mlionyesha Nia na mliofika kwenye...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Safari ya miaka 9 tangu kuacha kazi. Hamasa kwa vijana wenye maono makubwa

    Maisha ni safari ndefu
  7. R

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu kijijini wanakouzwa mashamba Kati ya laki 2 Hadi 5 anijuze popote Tanzania

    Shamba lako limeuzwa Tiwari? Njoo tuyajenge
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ajira: Anahitajika Dr wa mifugo

    Anahitajika kijana (miaka 22-26) daktari wa mifugo mwenye cheti au diploma kutoka chuo kitachotambulika na serikali kwa ajili ya kusimamia Shamba la mifugo kama Bata, mbuzi, ngo'mbe na ngamia. Shamba lipo mkuranga, kata ya Bupu. Atakayebahatika kupata nafasi anatalazimika kukaa Shambani. Shamba...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Mzena inamilikiwa na nani? Kwanini iitwe Mzena?

    Serikali ya JMT
  10. R

    JamiiForums Tanzania True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

    Nilitoboaaa na mda umepita. Lakini tangia hapo sikosi box la kona na box la vipimo. Just in case.
  11. R

    JamiiForums Tanzania True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

    Haaaaa haya madude nimeyapiga mara mbili......experience ni hatari.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Serikali imechelewa kulipa mshahara wa mwezi Mei

    Umejuaje kama ni walimu?
  13. R

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ujasiriamali - Siri ya Kujikomboa Kiuchumi

    Nimeipenda safi sana kwa kutukumbusha
  14. R

    JamiiForums Tanzania Tabia 5 zinazoweza kumfanya mwanaume abakie masikini milele

    Hongera.....[emoji16][emoji16][emoji16]
Back
Top Bottom