Fanya biashara hizi kama una mtaji kiduchu

Una mtaji wa laki 2 mpaka million 2?
Hizi ni biashara ambazo unaweza ukafanya na zikakupa uhakika wa faida ya TSH 30,000_ laki kwa siku(1_3M kwa mwezi)

Wakati mwingine biashara nzuri sio Ile inayoonekana ya kifahari sana na decorations nzuri
Biashara ni mizunguko,faida💵.

Hizi biashara Zina foleni ya wateja na sio lazima uwekeze kwenye decorations Kali
-Tuna Anza na Biashara za kifedha
(Mawakala wa mitandao ya simu na benk)
-Biashara ya vifaa vya simu(phone accessories)cover, protector, earphones,,USB,nk....
-saloon ya kiume(local) utaanza na machine ya kunyolea na viti viwili,Kila mteja atalipia TSH 1000_5000
-Biashara ya genge
-Biashara ya Juice
-Biashara ya matunda
-Biashara ya vifungashio
-Biashara ya urembo wa kike kama hereni ,cheni, bracelet,Pete,shanga nk...
-Nguo za ndani za kike
-Biashara ya vinywaji
-Biashara ya chakula
-Saloon ya wanawake
-Biashara ya nguo na viatu vya mitumba
-Biashara ya Nafaka,UNGA,Michele,maharage,mafuta ya kula,,frem iwe sehemu ya makazi ya watu
-Biashara ya kuchoma kuku na ndizi mjini
-Biashara ya Dagaa
-Biashara ya samaki
-Biashara ya Chips
-Saloon dreadlocks
-Biashara ya sandels
-Spare za pikipiki
-Duka la mangi,,umakini muhimu
-Duka la dawa muhimu,pata location nzuri

Biashara Gani kati hizi unadhani ni nzuri zaidi kwako hasa kwa kuangalia na location ulipo, mtaji na uwezo wako wa kutafuta wateja na kusimamia biashara?

Usikae kizembe
Biashara ni rahisi ikizungumzwa mdomoni lakini shughuli yake Anza kuifanya
 
Biashara ya mtumba nilifanya kitambo nikiwa form 6 leaver 2012 hii kweli inalipa nilifanyaga na rafiki yangu tulikua tunanunua nguo kwa kupoint siku ya soko mzigo unapofunguliwa then tunazipunguza na kuzirekebisha ziwepoa alafu tunatembeza kwa watu maofisini na maeneo ya kazi. Tuli deal na wanavyuo pia na watu tunaowajua hawana maneno mengi. Tulipiga hela kweli ukinunua nguo ya 3k unauza 5k to 7k kwa wakati ule ilikuwa sio mbaya. Jamaa yangu alikua Yuko vizuri kwenye kushona xo Mimi nilideal na sales zaidi. Baadae tulienda vyuo Kila mtu akaenda na mishe zake. Jamaa mpaka Sasa anakiwanda kidogo anatengeneza mabegi hivi vidogo wanapenda kuvaa vijana wa 2000 na pia ya wanafunzi.
Hii ya dagaa nilimuona rafiki yangu mmoja anaifanya kwa mafanikio alinishawishi ila sikuweza kwakuwa dagaa wa mwanza ni ghali hivyo unahitaji watu wa kipato Cha kati kukuelewa hivyo mm mwenyewe nililose interest maana ilifika mahali jamaa akawa ananisaidia Hadi kuuza ikiwa wake wameisha niliamua kufanya mengine
Hii ya juice brother wangu mtoto wa baba mdogo aliwahi kufanya na rafiki yake ilikuwa inalipa ila jamaa yake alikua anazingua maana ameoa wake wawili na wanategemea hichohicho kipato wakashindwana na mshikaji ila kinalipa maana mshindani wao alikuwa na mtaji mzuri alinunua Hadi Mazda kwa kupitia hii biashara ila bàada ya uchaguzi wa 2020 kupitia na Mh. Magufuli kufariki walipata kashkash yakuvunjiwa vibanda.
Biashara ya duka la mangi linalipa ila linahitaji uvumilivu ni issues yakudunduliza ila ukiwa na mtaji mzuri na kuwa na uwezo wakujua pindi bidha zinaposhuka bei ununue kwa wingi na baadae uweze kuuza kwa faida kubwa bindi zinapopa. Pia kujua machimbo ya bei nafuu, pia location yenye uhitaji ni muhimu hii Bado naifanya ingawa nimemuachia mtu (my partner)kwa Sasa. Nilianza na mtaji kwa bidhaa chini ya laki tano ingawa sikuwa nikiitegemea baadae mtaji ulipofika 2m ndio nikaanza Kuona faida (SIKUWA NIMEPANGA FREM NILITENGEZA KIBANDA CHA CHUMA BAADAE NDIO NIKACHUKUA FREM MTAJI ULIPOKUA).
Biashara ya saloon shemeji yangu anaifanya na uzuri yeye anafundisha mabinti hivyo pia wanamfanyia kazi ana hela nzuri (Anapush Rav 4 mjini) Hivyo ukiwa na uvumilivu safi mambo yanaenda.
Pia kupamba/ makeup kwa maharusi inasaidia maana kupamba kunaanzia 50k Hadi 600k kikubwa ni mtaji wako na management. Licha ya skills Brand ina matter sana. Kuna watu wanamake Hadi 2M per day hasa mwezi Oct Hadi Dec. Hii nimeishuhudi kwa wakazi wa Arusha watembelee Cherry Suzie Beauty kwa Dar Tembelea Nuru Beauty Sinza au wengine wengi tu. Research inahitajika.
 
Una mtaji wa laki 2 mpaka million 2?
Hizi ni biashara ambazo unaweza ukafanya na zikakupa uhakika wa faida ya TSH 30,000_ laki kwa siku(1_3M kwa mwezi)

Wakati mwingine biashara nzuri sio Ile inayoonekana ya kifahari sana na decorations nzuri
Biashara ni mizunguko,faida💵.

Hizi biashara Zina foleni ya wateja na sio lazima uwekeze kwenye decorations Kali
-Tuna Anza na Biashara za kifedha
(Mawakala wa mitandao ya simu na benk)
-Biashara ya vifaa vya simu(phone accessories)cover, protector, earphones,,USB,nk....
-saloon ya kiume(local) utaanza na machine ya kunyolea na viti viwili,Kila mteja atalipia TSH 1000_5000
-Biashara ya genge
-Biashara ya Juice
-Biashara ya matunda
-Biashara ya vifungashio
-Biashara ya urembo wa kike kama hereni ,cheni, bracelet,Pete,shanga nk...
-Nguo za ndani za kike
-Biashara ya vinywaji
-Biashara ya chakula
-Saloon ya wanawake
-Biashara ya nguo na viatu vya mitumba
-Biashara ya Nafaka,UNGA,Michele,maharage,mafuta ya kula,,frem iwe sehemu ya makazi ya watu
-Biashara ya kuchoma kuku na ndizi mjini
-Biashara ya Dagaa
-Biashara ya samaki
-Biashara ya Chips
-Saloon dreadlocks
-Biashara ya sandels
-Spare za pikipiki
-Duka la mangi,,umakini muhimu
-Duka la dawa muhimu,pata location nzuri

Biashara Gani kati hizi unadhani ni nzuri zaidi kwako hasa kwa kuangalia na location ulipo, mtaji na uwezo wako wa kutafuta wateja na kusimamia biashara?

Usikae kizembe
Haya saidia fundi acheni kuangaika na kazi za nguvu chukueni wazo hapo mfanye biashara.
 
Umenena vyema.Hizo ni baadhi ya biashara nzuri kwa wenye vipato vya chini.Sasa watu licha ya kuwaorodheshea aina ya boashara wanataka uwaeleze namna ya kuzifanya!.Biashara ni ubunifu ili umpiku mwenzako mwenye biashara sawa na yako.
 
Una mtaji wa laki 2 mpaka million 2?
Hizi ni biashara ambazo unaweza ukafanya na zikakupa uhakika wa faida ya TSH 30,000_ laki kwa siku(1_3M kwa mwezi)

Wakati mwingine biashara nzuri sio Ile inayoonekana ya kifahari sana na decorations nzuri
Biashara ni mizunguko,faida💵.

Hizi biashara Zina foleni ya wateja na sio lazima uwekeze kwenye decorations Kali
-Tuna Anza na Biashara za kifedha
(Mawakala wa mitandao ya simu na benk)
-Biashara ya vifaa vya simu(phone accessories)cover, protector, earphones,,USB,nk....
-saloon ya kiume(local) utaanza na machine ya kunyolea na viti viwili,Kila mteja atalipia TSH 1000_5000
-Biashara ya genge
-Biashara ya Juice
-Biashara ya matunda
-Biashara ya vifungashio
-Biashara ya urembo wa kike kama hereni ,cheni, bracelet,Pete,shanga nk...
-Nguo za ndani za kike
-Biashara ya vinywaji
-Biashara ya chakula
-Saloon ya wanawake
-Biashara ya nguo na viatu vya mitumba
-Biashara ya Nafaka,UNGA,Michele,maharage,mafuta ya kula,,frem iwe sehemu ya makazi ya watu
-Biashara ya kuchoma kuku na ndizi mjini
-Biashara ya Dagaa
-Biashara ya samaki
-Biashara ya Chips
-Saloon dreadlocks
-Biashara ya sandels
-Spare za pikipiki
-Duka la mangi,,umakini muhimu
-Duka la dawa muhimu,pata location nzuri

Biashara Gani kati hizi unadhani ni nzuri zaidi kwako hasa kwa kuangalia na location ulipo, mtaji na uwezo wako wa kutafuta wateja na kusimamia biashara?

Usikae kizembe
Biashara ya kukaanga mahindi bisi kwa ajili ya popcorn,,je hii waionaje mkuu au mwaionaje?
 
Nilifanya huu upuuzi. Walinishawishi mafala flani training kule Makumbusho. Nilikua nikilala naiona Harrier nyeusi. Aisee nilipigwa za shingo.
Umenichekesha na hurrier nyeusi. Kuna mwaka mwaka nilikuwa naona hilux. Niliishia kununua Suzuki carry. Nikarudi Tena na Tena atimaye 01.04 ndoto ikatimia Sasa naanza safari ya canter. Aruta continua
 
sio rahisi kama unavyosema....nilifanya biashara nyingi kwa ubunifu..nilikuja kujua watuy wanaubeba ubunifu huo na kukubana wewe...vyote utakavyoanzisha jua kuna mafala hawajui cha kufanya mpaka uanze na upate faida wanakuja na kuvuruga....**** unaweza kufanya miradi kama ufugaji wa kitimoto ngombe wa maziwa kukuw wa nyama na mayai...hio ndio kazi yenye demand kubwa na utulivu..lakini hii ya kununua bidhaa na kuuza bidhaa...asikuambie mtu sio kazi mpakauipate siri ya hio biashara... hata kuuza tairi za gari(unaweza kukuta faida ipo kwenye kuuza tairi za wizi au zilizookotwa)au za magendo unashangaa mbona sisogei kumbe umeiga mfumo hujaujua
 
umepiga kwenye mshono
 
Back
Top Bottom