Recent content by rojazensema

  1. R

    Naweza kutumia wiring ya umeme wa TANESCO kuunga solar?

    Gharama yake inategemeana na ukubwa wa mfumo. Binafsi sina mfumo ambao ni ready made ila ninakupa mfumo kulingana na mahitaji yako (cutsomized system). Umeme wa solar unaweza kuendesha kila kitu
  2. R

    Naweza kutumia wiring ya umeme wa TANESCO kuunga solar?

    Mkuu hauhitaji kuagiza kutoka ughaibuni, watalaamu tupo. Umeme wa solar unaweza kutumika kwa kitu mpaka hospitali zinaweza kutegemea umeme wa solar. Changamoto ya solar ni gharama ya juu katika uwekezaji wa mwanzo ila baada ya hapo hakuna gharama. Solar panels zina lifespan ya zaidi ya miaka 25...
  3. R

    Naweza kutumia wiring ya umeme wa TANESCO kuunga solar?

    Nitafute kwa namba 0626409973 nikufanyie kazi iliyotukuka. Umeme wa solar ni wa DC na unaflactuate kutegemeana na kiwango cha jua. Hivyo basi kabla ya kuupeleka kwenye matumizi moja kwa moja ni lazima upite kwenye vifaa kadhaa kama battery na inverter. Battery ina kazi ya kutunza umeme wa jua...
  4. R

    Elimu ya bure Kuhusu umeme wa jua

    Inverter zinakuwa rated kwa DC voltage na Power output. Sasa kama inverter ni 12V, ukiunganisha battery mbili za 12V halafu ukaziunganisha katika mfumo wa series basi DC voltage itakuwa 24V hivyo utaunguza inverter. Hapa ntakushauri uunge battery zako katika mfumo wa parallel ili ubakiwe na 12V...
  5. R

    Wataalamu wa umeme msaada please

    Utangulizi Tatizo linaweza kuwa kati ya mambo yafuatayo; 1. Battery Haijai 2. Matumizi ni makubwa Ufafanuzi 1. Battery haijai kwa nini? Solar panel ya 100W haina uwezo wa kujaza battery ya N70 kama itatumia kutoka 100%-0%. Panel ya 100W itakuwa na uwezo kujaza battery ya N70 kama battery...
  6. R

    Vipi matumizi ya solar power na makato ya kodi ya nyumba?

    Kwa anayehitaji umeme wa solar utakaokidhi mahitaji yake bila matatizo anicheck whatsapp kwa namba 0626409973
  7. R

    Nahitaji kununua sola, ushauri wenu please

    Nicheck whatsapp kwa namba hizi 0626409973 nikuvushe kwenye hilo mkuu.
  8. R

    Msaada juu ya solar panel

    nicheck whatsapp kwa namba hizi 0626409973 nikuvushe kwenye hilo
  9. R

    Naombeni kujua hili katika umeme wa solar

    Ili kufahamu size ya mfumo utakaokidhi mahitaji yako, ni muhimu kujua walau jumla ya matumizi yako ya umeme. Baada ya kufahamu matumizi yako kinachofuata ni kufanya sizing ya mfumo wako kisha supply ya material na mwisho ni ufungaji wa mfumo. Nicheck whatsapp kwa hii namba +255626409973...
  10. R

    Naombeni ushauri nahitaji kufunga umeme wa solar

    Upo wapi? Naweza kukufanyia system design, supply ya material na kukupa fundi mzuri akafanya installation kwa gharama nafuu. check picha hizo ya moja ya kazi nilizokwisha kufanya.
  11. R

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Poleni na shughuli za kila siku ,pia nitoe pongezi kwa ushauri mkubwa unaotolewa na watu mbalimbali humu ndani kwani imekuwa ni msaada mkubwa hasa kwa sisi ambao tunategemea kujiunga na vyuo vya elimu ya juu siku zijazo. Binafsi ninaomba ushauri wenu katika kuchagua vyuo kwa kozi za engineering...
Back
Top Bottom