kwa mtazamo wako hizi fani ndo zina maslahi ya haraka??unamaanisha halali au haramu?kipimo cha kipato ni mshahara na ndio huo usio na zengwe wala kulazimika kujibembeleza kwa mtu ili usainiwe maombi ya posho,mshahara ni dhamana inayoweza kukudhamini hivyo ukiwa mkubwa utadhaminiwa kwa vitu vya...
Hii ndio ile inayoitwa inferiority complex...hapa hujengi ila unabomoa na hutaki kuukubali ukweli kuwa wengi wa waliosoma PCB wana uwezo wa kusoma coz yoyote ya Art in a post graduate level..lakini ni wachache sana waliosoma Arts/Biashara wanaweza even kudare kusoma Sayansi....!Huu ni mtazamo...
Siku hizi wanalipa fedha ya kujikimu just ukiwasili ofisi ya wilaya/manispaa uliyopangiwa unapewa chako then unapelekwa kuonyeshwa shule utakayofundisha kama iko mbali na makao makuu. na mwisho wa mwezi unaukuta mshahara wako
Kasoma miaka yote hiyo primary?au ndo ile ilikuwa inaitwa kukariri?yaani kurudia darasa? alaf leo anawahukumu watoto eti wamefanya udanganyifu....!na alianza kufundisha kabla hajagraduate?Huyu anabalance tu equation ya JK lakini sifa hazitoshi na ndo maana wanashindwa kutafuta suluhu ya matatizo...
Possibly makeke yake ulikuwa unayaona kwakuwa alikuwa kwenye power,,kwasasa yuko pembeni kidogo hivyo si rahisi kuonyesha...lakini kiukweli huyu mzee pamoja na mapungufu yake ni AMSHA AMSHA ile mbaya akiwa na Authority.
Hao unaojaribu kumlinganisha nae hawakushinda hizo chaguzi where as Sugu did win hivyo ulinganifu huo si sawa na kuhusu utabiri wako inategemea na vigezo vyako bt halahala usijekuwa kama late Sheikh Yahya or TMA (Watabiri wa Hali ya Hewa Bongo) na tabiri zao
Jana katika taarifa ya habari ya TBC1 saa 2usiku nilistaajabu kidogo kusikia Mkuu wa kikosi cha wanamaji Meja jenerali Omari akilijuza Taifa sababu za kupanda kwa bei ni uharamia katika bahari Hindi. Sijui mi ndo sjaelewa au?maana nilidhani taarifa hizi zingetolewa na BOT au waziri wa Fedha kama...
Nimesoma gazeti la Majira la jana 9/1/2012 Mh. ukimkabili Magufuli kwa kudai kivuko ni huduma na si biashara. Naomba weka huo mstari wa kutenganisha kati ya huduma na biashara na kama ni kwa kigezo cha kuwatoza wananchi ebu zitazame Hospitali za Umma, Mashirika ya Umma ya Huduma za maji (kama...
Wewe ni miongoni mwa wabunge ambao wakisimama bungeni kuongea kitu watu hukaa kimya kukusikiliza wakiamini UMAKINI wako na UJENGAJI HOJA ulionao kwenye mambo ya msingi..!Binafsi sikuona haja ya wewe kupambana na Magufuli/TEMESA (gazeti la Majira 9/1/2012) kuhusu ongezeko la nauli za kivuko kwa...
Dini zina lengo la kutuweka karibu na Mungu ili tuwe karibu na binadamu..!Tukiifanya kutuweka mbali na binadamu pia itatuweka mbali na Mungu...!just a Precaution
huo ukichwa wake labda kama ni kuhusiana na GPA, lakini kwa yale majibu yake bungeni huo ukichwa mi sijawahi kuuona,kama ni wa GPA atafute uongozi UDASA,SUASA n.k
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.