Wako unafikiriaje?pliz tell ili tulinganisheUbongo wake ndio unaruhusu kufikiria hayo.
Sio jambo la ajabu kwake.
OTIS
Wako unafikiriaje?pliz tell ili tulinganisheUbongo wake ndio unaruhusu kufikiria hayo.
Sio jambo la ajabu kwake.
OTIS
Hao unaojaribu kumlinganisha nae hawakushinda hizo chaguzi where as Sugu did win hivyo ulinganifu huo si sawa na kuhusu utabiri wako inategemea na vigezo vyako bt halahala usijekuwa kama late Sheikh Yahya or TMA (Watabiri wa Hali ya Hewa Bongo) na tabiri zao
The words in red are no where to be found in my dictionary. msaada please
kingine siyo sugu tu kuna mwingine anaitwa machemli yeye ameshajitangaza ni rais wa visiwa vya ukerewe, tena afadhali ya sugu anayeitwa sisi tunajiita ni marais , mimi binafsi chief masanja nimeshajitangza kuwa ni rais wa shinyanga asiyetaka na aseme na aje na sababu kwa nini nisiwe rais wa shysugu asiogope "kuitwa" rais wa mbeya, mbaya kama "anajiita", maana huo ni utashi wa wanao muita hivyo kwani wao ndo wanasema! Rais anaweza kuwa mtu yeyote yule katika nyanja au eneo fulani. Mfano; kuna kauza sura fulani, kaimba bongo flava kanajiita "rais wa masharlbaro", hakajakamatwa na hakuna wa kuka-kamata! Hivyo mr. Sugu asiwe na wasiwasi. Kwa ukweli jk ni rais wa jmt na dr. Slaa ni rais wa watanzania. Hutaki kapige mbizi!
Tatazo Sugu ni muuza sura... na unfortunately most ya watu wambea do not
see him kama alivo... Hata nashangaa hii kauli katoa, maybe he is evolving...
Nasema Sugu rais,mbeya nchi,kwetu huku yeye ndiye kila kitu na mtetezi wa watu wa chini kama vile machinga ambao ni wengi sana hapa Mbeya kuliko kokote Tanzania,mshikaji kiukweli ni mtu wa watu na mtetezi sana wa watu wa chini,Mbeya huwaambii kitu kuhusu Sugu mana 90% ya wakazi wa Mbeya ni vijana wazee wapo Tukuyu huko,kyela n.K.
Nasema Sugu rais,mbeya nchi,kwetu huku yeye ndiye kila kitu na mtetezi wa watu wa chini kama vile machinga ambao ni wengi sana hapa Mbeya kuliko kokote Tanzania,mshikaji kiukweli ni mtu wa watu na mtetezi sana wa watu wa chini,Mbeya huwaambii kitu kuhusu Sugu mana 90% ya wakazi wa Mbeya ni vijana wazee wapo Tukuyu huko,kyela n.K.
Kuna marais wengi, anaweza kuwa rais wa mbeya, rais wa Muziki na kuna marais wa makampuni mbali mbali. Kwa hiyo neno rais linategemea na sehemu anayoitwa. Kama anaitwa rais wa Tanzania hapo ndipo itakuwa sooo!!!
Watu wengi hapa wamekurupuka sana kwa kauli hii ya sugu, sugu yupo sahihi kusema vile. Kama mna kumbukumbu vurugu zilipotokea mbeya kuna baadhi ya watu waliandika ujumbe kwenye mabango ulisomeka ''MBEYA NI NCHI NA SUGU NDO RAISI" ukitafakali hii sentensi fupi kwa haraka sana huwezi kuona madhara yake kwa sugu hasa kwa wale wenzangu wenye vichwa less, lakini ukiitafakari kwa umakini hii sentensi inamadhara sana kwa sugu ukichukulia kuwa sugu ni mwanasiasa huenda watawala wetu wakatafakari na kuchukulia kuwa sugu anaushawishi wa kuwafanya watu wa mbeya waweze kujitenga na kuunda taifa lao yaani mkoa wa mbeya kuwa nchi inayojitegemea kwa kila kitu, kwa wale mnaomponda sugu mlipaswa kujihoji kwa nini sugu aliamua kusema vile na ni kwa mantiki ipi na siyo kukurupuka na kuanza kuponda tu.
LABDA ... Rais wa KINEGA ... he isn't even worth kuwa mjumbe wa nyumba kumi.. 2015 CDM wanapoteza jimbo...
Hata mdoli ukiuita Rais kwani kuna tatizo gani? Au Marehemu ukimwambia yuko hai, siyo uhaini. Kwa hiyo yeye aendelee tu kuitwa Rais wala hatasumbuliwa kwani hana tofauti na mdoli
wasiwasi ndo akili jamani.