mfano kama mayai ya kwale na kwa babu loliondo hata mwaziri 1alikuwa na ndg yake aliyefuga kwale, alizungumzia kumbe amefuga kwale na mayai anayo hana kwa kuyapeleka l. hawa wanaojiita wasomi kumbe mh. na kuna rais naye aligida kikombe na baadhi ya watu na wasomi wengi tu .mi mwenyewe niko hapa...
Unaulizwa biashata yako inamtaji wa sh ngapi unawafanyakazi wangapi utataja una watoto wapi nabuna mke! je watoto wanasoma wapi na unaripa ada sh ngapi una garia uapiki piki nyumbani vhakula unatumia shirngi ngapi. akimaliza hapo atahamia kwenye computer anabonyezabonyeza akija kuinuka utskia...
Rais magufuli amefafhiriwa na ccm yeye anasema ana serikali yake na vile vile ana kikundi kidogo tu cha watu wake ambao ndio waamuzi ndio hao wengine wasiojurikana na ndo hao akina polepole musiba na bashite wamefadhiriwa tu . halafu nitakushangaa kumfananisha m7 na huyu hapana hata kama wote ni...
We zubaa unafikiri Bashite na Polepole walipateje shavu walifanya matukio live sio wewe unayeandika magu haamini mitandao hata kidogo jitoe mhanga waingilie waliko kutana.
kuna barabara ya kuanzia uyole mpaka kasumuru kwani ile ilijengwa na nani mbona ni barabara ya mfano sana toka 1992 MPAka leo nzimaa sana hivi zinazojengwa leo hii zinabomoka kesho wanajengea nini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.