Watanzania tunadanganyika haraka sana

Watanzania tunadanganyika haraka sana

Unataka kusema kuwa jamaa ana DNA ya huney burgers?
Iyo DNA siielewi, ila kwa uzoefu wangu wa kienyeji inawezekana kabisa. Coz hata china na ulaya kuna watu wanacheza na nyuki. Ila tu point yako ya msingi haijapotea hili ni changa la macho.
 
Nikikumbuka utapeli wa babu wa Loliondo, mafuta ya ubuyu na mayai ya kware nashindwa kuwashangaa Wabongo
mfano kama mayai ya kwale na kwa babu loliondo hata mwaziri 1alikuwa na ndg yake aliyefuga kwale, alizungumzia kumbe amefuga kwale na mayai anayo hana kwa kuyapeleka l. hawa wanaojiita wasomi kumbe mh. na kuna rais naye aligida kikombe na baadhi ya watu na wasomi wengi tu .mi mwenyewe niko hapa kijijini loliondo kidogo tu nishawishike miende kunywa kikombe kunusulika kwangu nilikosa mia 500 tu.
 
Gongo la Mboto eti mwizi kang'atwa Na nyuki.
screenshot_2018-05-06-19-45-47-png.768436

Ukiitazama hiyo picha nyuki hawamuumi mwizi Ila wamemsambaa usoni.
Bee sting Ina sumu Kali, nyuki wakikung'ata lazima uvimbe.
Sumu/ mwiba wa nyuki ni kifo.
Pichani ni mtu aliye warundika nyuki mwilini kama aluvyofanya tapeli wa Gongo la Mboto
th
Hii story na picha hii iliwahi kuonyeswha na CITIZEN ya Kenya kuwa ni tukio lilitokea Kenya mwaka jana,jinsi tukio lilivyohamishiwa Gongo la Mboto mimi na wewe hatujui sababu ila kama ulivyosema ni muendelezo wa kiroba cha mahindi
 
Wabongo walipofikia ni Mungu atupe nusura lakini ujinga uliopo ni wa kupitiliza.

Kwanza hawajui kuchambua ukweli na uwongo.

Na tatizo wamekulia kwenye mazingira ya ovyo

Ukishajua tatizo hilo sio tatizo tena!
 
Hii story na picha hii iliwahi kuonyeswha na CITIZEN ya Kenya kuwa ni tukio lilitokea Kenya mwaka jana,jinsi tukio lilivyohamishiwa Gongo la Mboto mimi na wewe hatujui sababu ila kama ulivyosema ni muendelezo wa kiroba cha mahindi
Watanzania tuna funza kwenye bongo zetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom