Ujenzi: Serikali ya Magufuli inaunyanyapaa mkoa wa Mbeya?

Mkuu ungemtag na naibu spika pia ni wa huko.
Mkuu nafikiri uko right.
Ingawaje Tulia bado sana kupata umaarufu wa kisiasa mkoani Mbeya .
Tulia ana nguvu za dola lakini sia za ushawishi na za kisiasa.
Lakini akiweza kuzitumia nguvu hizo kuleta maendeleo dhidi ya kero za barabara. nguvu za kisiasa zitakuja tu.
 
Mkuu hili ni kama dongo kwake, kuna wakati Sugu amchukulie kama mtetezi wa ndugu zake, sio mara zote kumpiga ban.
 
kuna barabara ya kuanzia uyole mpaka kasumuru kwani ile ilijengwa na nani mbona ni barabara ya mfano sana toka 1992 MPAka leo nzimaa sana hivi zinazojengwa leo hii zinabomoka kesho wanajengea nini
 
Mkuu nafikiri uko right.
Ingawaje Tulia bado sana kupata umaarufu wa kisiasa mkoani Mbeya .
Tulia ana nguvu za dola lakini sia za ushawishi na za kisiasa.
Lakini akiweza kuzitumia nguvu hizo kuleta maendeleo dhidi ya kero za barabara. nguvu za kisiasa zitakuja tu.
Mbeya rais ni Sugu, unafahamu idadi ya vijana waliosomeshwa na Sugu tangu awe mbunge?
 
Nimesoma bajeti ya wizara ya Ujenzi hususan ujenzi unaonihusu wa barabara za mkoa wa Mbeya.

Barabara pekee iliyo katika bajeti ni ile ya Mpemba~Isongole(50km), off shhot ya barabara kuu ya kwenda Zambia.

Barabara ya kuingua Mbeya mjini ni kizungu mkuti kwa heavy trafficna imebonyea sana kwa uzito wa magari kwenda Congo, Zambia na hata Zimbabwe na Afrika Kusini.

Ringroad iliyopendekezwa, hakuna!
Wakati huonhuo Mwanza inajengewa bypass ya Kisesa~Usagara ambayo haina hata robo ya traffic ya mjini Mbeya.

Tunduma pale hali ni ya kutia aibu, msongamano wa magari kuingia Zambia unaenda hadi kilometa nne hadi saba!

Barabara za Wilayani kama Rungwe ndo kabisa zimefumbiwa macho.

Je, Huu ni unyanyapaa?

Halafu tunashangaa majimbo yanapochukuliwa na upinzani!
Panapo hitajika barabara wanaleta siasa

Panapo hitajika siasa wanaleta nguvu

Panapo hitaji maarifa wanaleta siasa

Tuwavumilie ndo Tanzania yetu na watanzania wenzetu
 
Nimesoma bajeti ya wizara ya Ujenzi hususan ujenzi unaonihusu wa barabara za mkoa wa Mbeya.

Barabara pekee iliyo katika bajeti ni ile ya Mpemba~Isongole(50km), off shhot ya barabara kuu ya kwenda Zambia.

Barabara ya kuingua Mbeya mjini ni kizungu mkuti kwa heavy trafficna imebonyea sana kwa uzito wa magari kwenda Congo, Zambia na hata Zimbabwe na Afrika Kusini.

Ringroad iliyopendekezwa, hakuna!
Wakati huonhuo Mwanza inajengewa bypass ya Kisesa~Usagara ambayo haina hata robo ya traffic ya mjini Mbeya.

Tunduma pale hali ni ya kutia aibu, msongamano wa magari kuingia Zambia unaenda hadi kilometa nne hadi saba!

Barabara za Wilayani kama Rungwe ndo kabisa zimefumbiwa macho.

Je, Huu ni unyanyapaa?

Halafu tunashangaa majimbo yanapochukuliwa na upinzani!

Hivi hamuoata zile 10KM za world bank walizopata majiji yote ya arsuha, dar, tanga na mwanza ?
 
Mbeya rais ni Sugu, unafahamu idadi ya vijana waliosomeshwa na Sugu tangu awe mbunge?
With all due respect, usichafue mada kwa kuingiza agenda za wafungwa.
Huyo mfungwa akitoka lupanga naye atahitaji miundombinu kufika nyumbani kwake.
 
Nimesoma bajeti ya wizara ya Ujenzi hususan ujenzi unaonihusu wa barabara za mkoa wa Mbeya.

Barabara pekee iliyo katika bajeti ni ile ya Mpemba~Isongole(50km), off shhot ya barabara kuu ya kwenda Zambia.

Barabara ya kuingua Mbeya mjini ni kizungu mkuti kwa heavy trafficna imebonyea sana kwa uzito wa magari kwenda Congo, Zambia na hata Zimbabwe na Afrika Kusini.

Ringroad iliyopendekezwa, hakuna!
Wakati huonhuo Mwanza inajengewa bypass ya Kisesa~Usagara ambayo haina hata robo ya traffic ya mjini Mbeya.

Tunduma pale hali ni ya kutia aibu, msongamano wa magari kuingia Zambia unaenda hadi kilometa nne hadi saba!

Barabara za Wilayani kama Rungwe ndo kabisa zimefumbiwa macho.

Je, Huu ni unyanyapaa?

Halafu tunashangaa majimbo yanapochukuliwa na upinzani!
Wameapa kukomesha kila eneo walilonyimwa kura , endelea kusubiri dodo kwenye mnazi
 
Nimesoma bajeti ya wizara ya Ujenzi hususan ujenzi unaonihusu wa barabara za mkoa wa Mbeya.

Barabara pekee iliyo katika bajeti ni ile ya Mpemba~Isongole(50km), off shhot ya barabara kuu ya kwenda Zambia.

Barabara ya kuingua Mbeya mjini ni kizungu mkuti kwa heavy trafficna imebonyea sana kwa uzito wa magari kwenda Congo, Zambia na hata Zimbabwe na Afrika Kusini.

Ringroad iliyopendekezwa, hakuna!
Wakati huonhuo Mwanza inajengewa bypass ya Kisesa~Usagara ambayo haina hata robo ya traffic ya mjini Mbeya.

Tunduma pale hali ni ya kutia aibu, msongamano wa magari kuingia Zambia unaenda hadi kilometa nne hadi saba!

Barabara za Wilayani kama Rungwe ndo kabisa zimefumbiwa macho.

Je, Huu ni unyanyapaa?

Halafu tunashangaa majimbo yanapochukuliwa na upinzani!
Mtamkumbuka Mange Kimambi, hakuna kulalamika.
 
Sijui kwanini hawa Watawala wa Tanzania wengi wao wanashindwa kwa makusudi kutoisaidia Mbeya Kimiundo mbinu. Ikumbukwe kuwa Boarder za Nchi jirani zinazopatikana Mbeya ziko Mbili, na Mizigo mingi toka Bandari ya Dar es Salaam inayokuwa Transit inapitia Mkoa wa Mbeya, Mazao mengi yanapatikana mkoa wa Mbeya na Songwe! Laiti kama tungepata Kiongozi mwenye Uelewa mzuri, asingeiacha Mbeya kwa Fursa zile na Miundombinu iliyopo. Mbeya Ingechakia Pato la Taifa kwa Asilimia kubwa zaidi ya Iliyopo.

Hopeless Leaders of Tz!
Mkaandamane
 
Huyu jamaa wakati anaingia nilimwamini sana hata kwenye kupanga mambo na kusimamia.

Kwanini wasiamua tumalize kwanza barabara za mikoa zote kisha tufanye mambo mengine.

Miaka 60 baada ya uhuru mkoani unatembe kwenye vumbi.
 
Kwa mjibu wa maandishi yako Mbeya hakuna barabara iliyotengewa bajeti....hizo ulizozitaja ni za Mkoa wa Songwe.

Hiyo Mpemba -Isongole ni ya wilaya ya Ileje Mkoa wa Songwe....ya mkato kufika Malawi sio Zambia.

Kilio kikubwa zaidi ni msongamano wa magari toka Uyole mpaka Mbalizi....ile barabara ilikuwa lazima itengewe bajeti.
Tutaimarisha SGR upande huo
 
Nyie huko si huwa mnasema hadharani ya kwamba Rais wenu wa Mbeya ni SUGU. Pambaneni na Rais wenu akitoka Magereza awaletee hayo Maendeleo.
 
Nimesoma bajeti ya wizara ya Ujenzi hususan ujenzi unaonihusu wa barabara za mkoa wa Mbeya.

Barabara pekee iliyo katika bajeti ni ile ya Mpemba~Isongole(50km), off shhot ya barabara kuu ya kwenda Zambia.

Barabara ya kuingua Mbeya mjini ni kizungu mkuti kwa heavy trafficna imebonyea sana kwa uzito wa magari kwenda Congo, Zambia na hata Zimbabwe na Afrika Kusini.

Ringroad iliyopendekezwa, hakuna!
Wakati huonhuo Mwanza inajengewa bypass ya Kisesa~Usagara ambayo haina hata robo ya traffic ya mjini Mbeya.

Tunduma pale hali ni ya kutia aibu, msongamano wa magari kuingia Zambia unaenda hadi kilometa nne hadi saba!

Barabara za Wilayani kama Rungwe ndo kabisa zimefumbiwa macho.

Je, Huu ni unyanyapaa?

Halafu tunashangaa majimbo yanapochukuliwa na upinzani!
Mkuu barabara ya Kisesa - Usagara imepigiwa kelele siku nyingi sana na lengo ni kuepuka kama hicho kinachotokea Mbeya cha msongano (lengo ni kama gari linakwenda Musoma ama Igoma ama Magu hakuna sababu ya kuingia katikati ya mji na kuleta jam
 
Back
Top Bottom