Recent content by ROBBY1993

  1. ROBBY1993

    Vigezo gani vya kujiunga chuo cha udereva NIT?

    Pale wanaenda watu ambao ni madereva tayr, so unaenda "Advanced driving course" Vigezo. Uwe na lesen class C,C1,2,3 au E Uwe umeitumia zaid ya mwak mmoja Uwe na mafunzo ya udereva wa swali kutk beta au Chuo kinachotambuliwa na serkl. Uwe unajua kuendsha vzur gar la manual, sku is Kuna pre...
  2. ROBBY1993

    Nataka kufahamu matumizi ya TANCIS

    Sem hii ASYCUDA kirefu chake ni kipi?
  3. ROBBY1993

    Nataka kufahamu matumizi ya TANCIS

    Ahsante sana, kwa elimu nzur uliyonipatia.
  4. ROBBY1993

    Nataka kufahamu matumizi ya TANCIS

    Wadau habarini za Jumapili? Tafadhali naomba kufahamishwa vizuri matumizi ya huu mfumo wa TANCIS, naskia Tanzania Customs Integrated System. Je mtu akikwambia kuwa Stuck on Tancis ana maana gani?
  5. ROBBY1993

    Nauza container 20 feet

    40' hauna?
  6. ROBBY1993

    Ni maamuzi gani magumu umewahi kufanya mpaka unajishangaa?

    Nakumbuka nilipo chaguliwa kujiunga na kidato cha tano, Tabora boys, nikakosa nauli na ada, nilifanya maamuz ya kutafta nauli na kwenda shule, bila godoro wala nini, na nilisoma nikamaliza.
  7. ROBBY1993

    Ufupi wangu unanikosesha amani sana kama mwanaume

    acheni kumpa moyo, ufupi sio dili kabisa, popote utakpo enda itabid ujitutumue ili uonekne umo, lakin ukiwa mrefu wala raha sana confidence popote.
  8. ROBBY1993

    Mambo ya kuzingatiiwa na DEREVA unapokaribia alama za ZEBRA

    hakuna kitu kama hicho, matumizi ya alama za usalama barabarani ni saa 24 sku 7 za wiki ispokuwa askari wa usalama barabarani.
  9. ROBBY1993

    Ni sawa gari ya auto kushituka fulani gia inapochange..

    gear box ya gari lako ina mechanical failures, hii hutokea pale gear inapochelewa kubadilika na hatimae kubadilika gafla, jambo ambalo husababisha mshtuko. Gear za automatic transmitted vehicles zinapobadilika hazitakiwi kushtuka kma ilivo manual transmitted vehicles.
  10. ROBBY1993

    EDR vs BLACKBOX

    EDR stands for Events Data Recordings,an instrument that records each event in motor vehicle.Normally useful in case of accident.It records steering angles,wheel rotation,Rotation per minute(engene speed). Black Box ,an instrument in air plane used to record events in plane.Both perform the same...
  11. ROBBY1993

    Kipi kipewe kipaumbele kwanza?:Miundo mbinu ya Uchukuzi au Viwanda kwa mwaka 2018?

    Ninavodhani kwa dhati kabisa ni kwamba hatuwezi kuwa na maendeleo ya viwanda kama bado hatujaboresha miundo mbinu ya uchukuzi, hii inahusisha barabara za mijini na vijijini, reli mijini na vijijini,bandali ikiwa ni pamoja na bandari kavu, viwanja vya ndege ikiwa ni vikubwa na vidogo, miundo...
  12. ROBBY1993

    UGANDA: Professor ajivua nguo zote hadharani baada ya "kutumbuliwa"

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Back
Top Bottom