Vigezo gani vya kujiunga chuo cha udereva NIT?

Naomba kuliza Ni vigezo gani ambavyo unapswa kua navyo ili uweze kujiunga na chuo Cha udeleva NIT

Sent using Jamii Forums mobile app
Cha muhimu kiliko vyote Lazima uwe Dereva unaijua vizuri Gia namaanisha kuendesha Gari Manual vizur coz kabla hujapewa accnt no ya malipo lazima upewe eicher zile upige gia ukiboronga hapo wanakutimua hapo hapo ni hivyo tu hiko kigezo ukipita hapo unaendelea na masomo.

Nimemaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale wanaenda watu ambao ni madereva tayr, so unaenda "Advanced driving course"
Vigezo.
Uwe na lesen class C,C1,2,3 au E
Uwe umeitumia zaid ya mwak mmoja
Uwe na mafunzo ya udereva wa swali kutk beta au Chuo kinachotambuliwa na serkl.
Uwe unajua kuendsha vzur gar la manual, sku is Kuna pre testing kbla haujaanza kusoma
Ada, 500+ kwa VIP grade I,600+VIP grade II, 400+ kwa PSV

Ni hayo ya msing.

Kama Huna hizo Daraja ulizoweka hapo uwezi soma VIP course
 
Back
Top Bottom