Recent content by Robart Katema

  1. R

    Natafuta Cement ya Simba kwa Jumla

    We we upo wapi unaishi?
  2. R

    Vituko vya binti wa kazi toka Tanga

    Huyo kwa mud a mchache kawaza masharobaro wake atawamiss!!! Sasa kaona atafute sababu za kurudi.
  3. R

    Msaada lodge/gesti nzuri Tanga Mjini

    Hata mtendele,kwetu hotel hizo so mbaya
  4. R

    Tanga - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Muheza kuna uccm sana has a muheza vijijni wala usishangae wao kuchukua jumbo hilo.
  5. R

    Yaliyojiri Nyamagana Mwanza: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Oktoba 12, 2015

    Jamani hili suala alilotangaza mbowe LA kukunja katatasi ya kura na kwenda name kalamu ni jambo linatakiwa lisisitizwe sana vinginevyo tutampotezea Lowasa kura zake has a kwa maeneo ya vijijini chili Nina uhakika nalo.
  6. R

    Esther Bulaya awekwa mahabusu kwa kumtukana mkuu wa kituo

    Mbona wanaowekwa ndani ni ukawa tu? Hawa Wa ccm wala sisikii wao ndio hawakosei au nashindwa kuelewa hii nchi inakotupeleka huku ni kutuburuza.
  7. R

    Picha: Lowassa afanya kufuru Babati Mjini

    Huyu jamaa anakubalika sana mwenye wivu ajinyonge peopleeeeees!!!""!!!!
  8. R

    Mchungaji Msigwa na wenzake 61 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi

    Ccm wataisoma tu mwaka Hui peopleeeeeeez hoyee.
  9. R

    UKAWA waleta vurugu mkutano wa CCM Arumeru muda huu

    MNA habari za kizushi kweli watu Wa ccm hakuna MTU alieletwa na basi tanga huo ni uzushi mkubwa sana ongeleeni mambo mlio na uhakika nayo acheni umbea.
  10. R

    UKAWA waleta vurugu mkutano wa CCM Arumeru muda huu

    Ina maana askari Wa kulinda amani hakuna? Acheni habari za kizushi hizo.
  11. R

    Yaliyojiri Tanga: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, E. Lowassa - Septemba 28, 2015

    Ki ukweli watu walikuwa ni wengi kiasi kwamba watu wanakosa hewa na kupoteza fahamu acheni majungu mkutano imebidi uvunjwe kwa nyomi Mimi Niko bara bar a ya 3 karibu sana na huo uwanja Wa tangamano ccm waibe kura Ila hawana jipya.
  12. R

    Lowassa: Tutachukua nchi asubuhi

    Lowasa anatisha hapa tangamano ni full shang we lowasa kiboko.
  13. R

    Yaliyojiri Tanga: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, E. Lowassa - Septemba 28, 2015

    Hapa tangamano ni full heka heka za boda boda katika harakati za kumsubiria raisi wetu mtarajiwa tutawapa kilichojiri.
  14. R

    Njia Panda Himo Waonja Gharika la Lowassa

    Ajabu ya mwaka polisi wazuia mkesha Wa ukawa Tangamano usiku Hii ccm si wanajiamini watashinda hizi pingamizi za ajabu zinakujaje?
  15. R

    UKAWA wanahitajika kuwa makini zaidi hasa katika eneo hili

    Hivi hili LA kuweka mawakala kwenye vituo nalo ni LA kungalia sana wakala asije akanunuliwa hapo Hapo kituoni wakishaona tayari ccm imezidiwa akapewa chochote kura za ukawa zikachakachuliwa au mwalionaje inatakiwa wakala ambae anapenda mabadiliko.
Back
Top Bottom