UKAWA waleta vurugu mkutano wa CCM Arumeru muda huu

kwani unadhani pale ukawa kunamtu wa kuleta ustarabu wote wehu tu.
 
kama wameamua kufanya fujo basi ujue hali si nzuri...
infact mwiguru anatisha sana na ukisikia maneno yake hata uwe bavicha lazima moyoni ukiri kuwa jamaa ni noumer sana...

Ukiuwa watu lazima utishe
 
Ha ha ha ccm ni ving'ang'a kama Lema tu huko kishaambiwa asihangaike na kampeni kura zake zipo
ccm wanafata nini huko?
ccm mngejikita zaidi ambako watu hawataki mabadiliko kama huku kwa wagogo atleast ndio mna uhakika not Arusha jamani

Hata hao wa DODOMA ni wachache sana wasiotaka haya mabadiliko nje ya ccm.
 
kama wameamua kufanya fujo basi ujue hali si nzuri...
infact mwiguru anatisha sana na ukisikia maneno yake hata uwe bavicha lazima moyoni ukiri kuwa jamaa ni noumer sana...

ImageUploadedByJamiiForums1443527998.026726.jpg
 
uzoefu unaonyesha kuwa hao ni UVCCM

Taarifa ya 4u movement kuhusu waliozimia tanga

Waliozimia ni watu waliotoka Kilimanjaro, Arusha na Manyara, walikuwa wana UCHOVU wa safari. Maana waliondoka kwao Asubuhi kwa kusombwa na mabasi na wakaingia Tanga mchana bila kupumzika, kula wala kunywa maji wala juice wakapitilizia uwanjaNi. Kwann wasizimie❓❗

Ninawapa pole maana ni watanzaNia wenzangu.

Ila huu mchezo wa kusomba watu kwenye mabasi mikoa mpaka mikoa uishe, watanzaNia wanateseka saNa.

Watu walisombwa kama watumwa toka mikoani kuja Tanga tena bila kula lazimwazimie, mungu awaponye haraka majerui tare 25 wachague hapa kazi tu
 
hio mikakati yao tunaifaham ya kuanzisha fujo.
 
Mheshimiwa Mwigulu Nchemba ametua sasa hivi jimbo la Arumeru hapa USA River. Maajabu ni kwamba vijana wa UKAWA matumbo joto wameamua kwenda kutibua mkutano wameenda na muziki wao pale wenye nyimbo za CHADEMA wanapiga kwa Sauti ya juu sana ilimradi kusiwepo kusikilizana. Huu sio ustaarabu kabisa na sidhani kama ni jambo la kusifiwa. Hata wale wanaozomea kwenye mikutano ni watu ambao wanapangwa na UKAWA kuleta vurugu. Kwani nini msifanye siasa za kistaarabu hizo ni dalili za kushindwa

Prove you right!
 
Ukawa mara hii wameshikwa pabaya! Yaani vyama vinne vinapelekeshwa puta na chama kimoja tu! Kilichobaki ni kuwanunulia viroba vijana wafanye vurugu kama kule jimbo la Mtama alipokwenda Lowasa vijana walionekana pale nyuma ya crdb wakigawiwa viroba na wakaanza vurugu! Kifupi ukawa ni genge la wahalifu.
 
kwani unadhani pale ukawa kunamtu wa kuleta ustarabu wote wehu tu.

Jana kuna mtu alihudhuria mkutano wao, ukawa wanawahimiza vijana wao wawazomee ccm! Sasa sijui ndio utamshawishi vipi mtu kwa vurugu na upu.m.bavu!! Ukawa watafute biashara nyingine hii imebuma:
 
Ukawa mara hii wameshikwa pabaya! Yaani vyama vinne vinapelekeshwa puta na chama kimoja tu! Kilichobaki ni kuwanunulia viroba vijana wafanye vurugu kama kule jimbo la Mtama alipokwenda Lowasa vijana walionekana pale nyuma ya crdb wakigawiwa viroba na wakaanza vurugu! Kifupi ukawa ni genge la wahalifu.

Acha waruke ruke mwaka huu ndo mwsho wao
Muungano wa kinafiki

Rais magufuli karibu ikulu
 
Taarifa ya 4u movement kuhusu waliozimia tanga

Waliozimia ni watu waliotoka Kilimanjaro, Arusha na Manyara, walikuwa wana UCHOVU wa safari. Maana waliondoka kwao Asubuhi kwa kusombwa na mabasi na wakaingia Tanga mchana bila kupumzika, kula wala kunywa maji wala juice wakapitilizia uwanjaNi. Kwann wasizimie❓❗

Ninawapa pole maana ni watanzaNia wenzangu.

Ila huu mchezo wa kusomba watu kwenye mabasi mikoa mpaka mikoa uishe, watanzaNia wanateseka saNa.

Watu walisombwa kama watumwa toka mikoani kuja Tanga tena bila kula lazimwazimie, mungu awaponye haraka majerui tare 25 wachague hapa kazi tu

Duh! Hao makamanda wana roho ngumu sana aisee! Ndani ya Lori na nginjanginja ile halafu bila kula unawahi kulipa deni uwanjani! Ni hatari sana aisee! R.I.P makamanda.
 
kama wameamua kufanya fujo basi ujue hali si nzuri...
infact mwiguru anatisha sana na ukisikia maneno yake hata uwe bavicha lazima moyoni ukiri kuwa jamaa ni noumer sana...

Yale matusi ndo kutisha? Dah madhara ya kushikiwa akili haya
 
Mheshimiwa Mwigulu Nchemba ametua sasa hivi jimbo la Arumeru hapa USA River. Maajabu ni kwamba vijana wa UKAWA matumbo joto wameamua kwenda kutibua mkutano wameenda na muziki wao pale wenye nyimbo za CHADEMA wanapiga kwa Sauti ya juu sana ilimradi kusiwepo kusikilizana. Huu sio ustaarabu kabisa na sidhani kama ni jambo la kusifiwa. Hata wale wanaozomea kwenye mikutano ni watu ambao wanapangwa na UKAWA kuleta vurugu. Kwani nini msifanye siasa za kistaarabu hizo ni dalili za kushindwa

Washashindwa kitambo mbonaaa hao
 
Hao watu wa Arumeru wanajua huyo jamaa amekuja huko kuporomosha matusi na ndio maana wanafanya hivyo ili aondoke.

hapo kuna watoto hivyo matusi yake huyo itakuwa ni kuwafundusha watoto tabia mbaya. Na ole wake aporomoshe matusi watamshusha kwa bakora jukwaani.

Hivyo naye awe mstaarabu kama wananchi aliowakuta walivyo wastaaarabu na bila kupenda matusi.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Ukawa ni amani tupu

Hujawakuta malofa hao wa ukawa katika ubora wao! Utajuta kukutana nao! Ni wahalifu watupu! Wakipita mtaani anagalia waleti, nguo zilizoanikwa, wanawasachi watu kwa kisingizi cha kuvaa njano! Ni balaa weka mbali na watoto.
 
Back
Top Bottom