Msaada lodge/gesti nzuri Tanga Mjini

Msaada lodge/gesti nzuri Tanga Mjini

naishi tanga mjini ingawa si mzaliwa wa huku lakini nakushauri fikia hotel inaitwa nyinda sio hiyo wanayosema yenye chakula ila hii ni mpya ipo sehem inaitwa kwa minchi ina sifa zote utakazo na zaid ipo barabarani kbs na nzr sn
 
ushapata?kama bado sema usaidiwe kk usije pelekwa magaoni
 
Hotel chumba 30,000/=safi ,parking ,self na mengine Tanga eekend hii lazima aende magaoni,kange,na mabondeni huko
 
Nimesema ya kwaminchi ni elfu arobaini na tano pale kwa mkuu wa wilaya masiwani zipo mbili moja wana bar huwa panajaa watu wakati wa Moira nyingine ipo pembeni yake ndio ambayo ni thelathini na tano ipo powa!
Moira= Mpira
 
Nenda nyinda respect kwa minchi hapo hutojuta
 
Ubebe na cheti cha ndoa ukibeba zigo lako ndo pasport ya kuingia kulala kinyume atarudishiwa mlangoni tanga rahaa sanaaa
 
Je Guest gani naweza pata na Yale mambo yetu ya corner bar na kimboka?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom