Recent content by road master

  1. R

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mtumishi wa TAKUKURU Tanga ahukumiwa kulipa faini ya Tsh. milioni 1 kwa kupokea rushwa ya dola 2500

    Takukuru watamrudisha kazini na kumlipa haraka Sana pesa zake!!!hii ndio Tz
  2. R

    JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu ana mahusiano na mwanamke wa kizungu?

    Kweli jamii forum imetetereka !! Hii mwanaume rijali unaweza kuanzisha "Uzi" kama huu!!!
  3. R

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ni jiji zuri ambalo limekosa matunzo

    Duuuu umeingia jijin 2020? Hongera!!! Mm nimeingia hapo1970s ,Kwa sasa nipo mkoani ila nakuja Sana hapo !! Kiukweli Dar imekuwa chafu Sana Sana!!wakazi wa Dar wengi ni hohehahe(makabwela) mlo wa shida ,makazi duni, mpangilio mbovuwa mitaa !!! Joto Kali Sana ,kugobmbania mabasi[emoji26]
  4. R

    JamiiForums Tanzania Serikali kuwajadili waliokataa Ukuu wa Wilaya

    Mh Rais imulikeni CWT!!! Kikichotokea nimrejesho kuwa ndani ya CWT Kuna ujujaji wa kutisha, pia napendekeza walimu wakatwe tsh 8000 kama CWT contribution!! Wasikatwe kulingana na ukubwa wa mshahara kama ilivyo sasa
  5. R

    JamiiForums Tanzania Forbes Africa: MO Dewji ndiye tajiri namba 1 Afrika Mashariki na Kati

    Kwahiyo Forbes hawamjui?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kilichomtoa Dkt. Msonde NECTA ni Kufaulisha sana bila mpangilio, Rais agusia leo, matokeo ya mwaka huu tutegemee heshima NECTA

    Hizi mada huandikwa na kuungwa mkono na wenye division zero
  7. R

    JamiiForums Tanzania Wabunge kupiga sarakasi, kulia na kupiga magoti nani aliwatuma kufanya hivyo?

    Hawa wabunge mwenda zake akiowataka
  8. R

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Kwann msimfufue ongeen na gwajima
  9. R

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Mimi nipo tofauti na wewe kwa 100% asante Mungu.kwa kuingilia kati kuinusuru nchi!! Huyo.Mtamsifu sana ila debe tupu halikosi kelele
  10. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kwa udi na uvumba dawa ya kuondoa vyakula tumboni ili kitambi kiishe haraka

    Matunda ya mlonge ni hatari utatoa uchafu mpaka ujishangae!!! Zimenye tafuna kama nane hivi, Au tafuta karanga pori unaweza ukatoa utumbo au tumia mafuta ya mnyonyo utahara ushangae longe
  11. R

    JamiiForums Tanzania Simba na viongozi Morrison mmekosea sana kumfukuza mrudishen game ya CCM Kirumba

    Kuanzia afe hans pop SSC kuna ombwe LA uongozi
  12. R

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Kitanzania na maisha ya mashaka South Africa

    Vijana na kitanzania ni masela mavi wengi huko south afrika walikurupuka kwenda huko wanauhuni wa kijinga sana wengi wamekufa !!!nawatakufa sana wenyeji wameanzisha operations ya kutimua wageni
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini maeneo yote yaliyotawaliwa Na waarabu ni maskini sana?

    Nilifika tanga kwa Mara ya kwanza nilishangaa sana heri ya moshi Mara milioni 100
Back
Top Bottom