Wabunge kupiga sarakasi, kulia na kupiga magoti nani aliwatuma kufanya hivyo?

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,305
15,033
Wakuu,

Kazi ya Bunge ni kuishauri na kuisimamia Serikali, sasa hizo kazi za kupiga sarakasi, kulia na kupiga magoti nani kawatuma?

Je, wale wa Songea walimtuma Mbunge wao kupiga magoti? Wale wa Ukonga walimtuma mbunge wao akalie Bungeni? Na wale wa Karatu walimtuma jamaa akapige sarakasi na kuruka viriva mule ndani ya Bunge?

Wabunge warudi kwenye mtari watimize majukumu yao kama inavotakiwa na sio kutafuta umaarufu wa kijinga namna hii hatutaki wanachezea kodi za wananchi.
 
Ccm Ina Mizigo Yaani Uhuni Mwingi

Halafu Wanapokea Cash Ndefu Millions 500 Kwa Kulia
 
Imeumana
JamiiForums-1368368108.jpg
 
Wakuu,

Kazi ya Bunge ni kuishauri na kuisimamia Serikali, sasa hizo kazi za kupiga sarakasi, kulia na kupiga magoti nani kawatuma?

Je, wale wa Songea walimtuma Mbunge wao kupiga magoti? Wale wa Ukonga walimtuma mbunge wao akalie Bungeni? Na wale wa Karatu walimtuma jamaa akapige sarakasi na kuruka viriva mule ndani ya Bunge?

Wabunge warudi kwenye mtari watimize majukumu yao kama inavotakiwa na sio kutafuta umaarufu wa kijinga namna hii hatutaki wanachezea kodi za wananchi.
Matokeo ya Uchafuzi Mkuu 2020 haya. Bungeni wameingia wasanii, wahuni, wadangaji na takataka isiyostahili kuitwa wabunge. Ni kichefuchefu tupu hovyo mithili ya kitchen party. Ni afadhali lisiwe "live" kuficha aibu.
 
Watajua hawajui.

Mbereko iliyowabeba haipo tena, sasa ndo akili zinawarudia
 
Bunge linanukaa bunge limegeuka choo cha bar kila mbunge anaharishaaaa tuu bora Wassira yeye kazi yake ilikua kulala tu kama yupo gesti.
 
Back
Top Bottom