kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,666
- 4,365
Mwaka 2020 nilivyofika Dar es Salaam nilipenda saana jiji hili the way lilivyo tu
Dar es Salam ina maghorofa mengi sana zaidi ya Quebec city Canada
Ila tatizo la jiji la Dar es Salaam ni uchafu
Ila Dar ni jiji nzuri saana
Na tatizo lingine watu hawa respect sheria za barabara kama Kariakoo kule utakuta barabarani watu wamejaa na gari zinapita katikati ya watu ndo kitu kingine ambacho nilikichukia hiki katika jiji la Dar es salam
Mimi ningelikuwa kiongozi la Tz ningetoa sheria kuwa jiji hili liwe la matajiri tu ili kulinda mazingira ya jiji hili sisi maskini mara nyingi ni watu ambao hatuheshimu mazingira