Recent content by rmvicentrm

  1. rmvicentrm

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Nomba msaada wa kununua laptop hii wapendwa, hasa upande wa hapa nchini mambo ya kodi tofauti na gharama nitakazo lipia mtandaoni kwa maana ya purchase cost+ transportation cost
  2. rmvicentrm

    JamiiForums Tanzania Nafasi za maombi, fursa za kibiashara Dar es salaam online business opportunity

    Multi level marketing bussiness is a face business, 99%who invest there ends loosing their money and time.
  3. rmvicentrm

    JamiiForums Tanzania Kwa waliofanya written interview za MUHAS pale DUCE

    Mkuu check Pm yako please.
  4. rmvicentrm

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa ajira mtandaoni...(portal ajira)

    Kiingereza unajua? Ulichoandika na screenshot yako vipo sawa?
  5. rmvicentrm

    JamiiForums Tanzania Dar inawapotezea watu muda

    Maisha ni vile wewe unavyoyaona!!, kuna mwana mmoja kipindi flani tulikuwa tunapiga stori kuhusu maisha, Yeye alisema hawezi kuishi zaidi ya Morogoro na Dar es salaam otherwise atoboe nje ya nchi tu. Maoni, leta mada kama ushauri usifikiri ufikiriavyo wewe kila mtu anamtazamo kama wako
  6. rmvicentrm

    JamiiForums Tanzania Maswali na Majibu kuhusu gari aina ya Toyota Voltz

    Kwa nn namba? Ufahamu kidogo mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. rmvicentrm

    JamiiForums Tanzania Niliyoyaona nchini German katika tour yangu

    Wajinga vs welevu, takwimu zinasemaje?
  8. rmvicentrm

    JamiiForums Tanzania Nani alianzisha dhehebu la Mashahidi wa Yehova?

    Duuh, mchungaji anahamasisha kupiga kelele. Imani hizo ndgu.
  9. rmvicentrm

    JamiiForums Tanzania Nani alianzisha dhehebu la Mashahidi wa Yehova?

    Haya sasa
  10. rmvicentrm

    JamiiForums Tanzania Nani alianzisha dhehebu la Mashahidi wa Yehova?

    Full upendo wa Agape tu huko.
  11. rmvicentrm

    JamiiForums Tanzania Mtu wa 2017 na 2016 kupangiwa vituo vya kazi wakati wa 2015 tukiwa mitaaani

    Pole mkuu, taratibu utaajiriwa, lakini tafuta kitu cha kukufanya uwe busy utapunguza msongo wa mawazo
  12. rmvicentrm

    JamiiForums Tanzania TAYOA AJIRA PORTAL

    Namashaka na uelewa wako mkuu
  13. rmvicentrm

    JamiiForums Tanzania TAYOA AJIRA PORTAL

    Habari wanajukwaa, Hii ndiyo sehemu(Tayoa ajira portal) ambayo utapata matangazo ya ajira kwenye mashirika na taasisi mbalimbali kwa uhakika. Kwa nini nasema hivyo? Tayoa ajira portal website ni wazuri na wamekuwa wakiweka matangazo ya kazi kupitia tangazo la mhitaji mwenyewe yaani/scanned copy...
  14. rmvicentrm

    JamiiForums Tanzania Hii recruitment portal mbona wanatuchanganya?

    Anwani inayotolewa hapo chini baada ya tangazo, Ni kwa ajili ya mtu unaye mtumia/address to. Barua ya kiofsi au kikazi ina Anwani ya mtumaji/anayeomba kazi na yule anayeombwa kazi. Baada ya kuandika barua ya maombi mwandikiwa anaipataje? Hapo ndiyo wanakuambia maombi yatumwe kupitia ajira...
Back
Top Bottom