Kwa waliofanya written interview za MUHAS pale DUCE

Ila nasikia sometimes wanaofika oral wanaingia kwenye database na baadae nafasi zikitokea wanaitwa tu kazini
Yaa hiyo Ipo but kuna condition tatu ambazo wengi wao wanazi " overlook"

1.Ni lazima uwe umefaulu vya kutosha usaili huo wa oral
2.Ni lazima nafasi ya kada husika ipatikane,mfano muhasibu,nesi,mchumi,daktari,afisa ugani na kadhalika.
3.Nafasi hiyo ipatikane ndani ya siku 180,isipopatikana ndani ya muda huo Jina lako au majina yenu yanaondolewa kwenye database.
So kimsingi hiyo issue siyo ya kuiwekea asilimia miamoja mategemeo,ni kama bahati nasibu tu,cha msingi ukifanya oral ukakosa endelea kuomba nafasi kadri zinavyojitokeza,

Hilo la kuitwa thru database ije kuwa saplaizi tu!
 
Uko sahihi ila niongezee kuna sehemu
1.Marks za kuwekwa kwenye Database wa Oral huwa ni 50 above.
2.Na majina kwenye Database yanakaa kuanzia 180 siku hadi 240 siku ndipo hufutwa kulingana na sasa.Ahsanteh
Vipi yule kijana wako alipita Ocen Road au walikuwa ni Matapeli tu!.
 
Yaani naona kwa kiasi kikubwa wanatengeneza mazingira ya kufeli,huwezi ita watu 600 kwa nafasi nne,,,,,niliwahi Fanya interview benk moja,yaan watu wawili tuligombania nafasi moja,,,nafasi zilikua 30 tuliitwa 60
Ulipata hiyo kazi?
 
Uko sahihi ila niongezee kuna sehemu
1.Marks za kuwekwa kwenye Database wa Oral huwa ni 50 above.
2.Na majina kwenye Database yanakaa kuanzia 180 siku hadi 240 siku ndipo hufutwa kulingana na sasa.Ahsanteh
Vipi yule kijana wako alipita Ocen Road au walikuwa ni Matapeli tu!.
Alipata Moi mkuu,ni namba tu zilichanganywa Mpombote
 
Yaani mimi nikifanya mpaka tano nkakosa naachana nao... Hii ilikua mara ya pili
Nikwambie kitu mimi interview 2 za kwanza kuitwa nilipuuza baada ya mchakato wa ajira kuachiwa mwaka jana ila rafiki yangu yeye alikuwa na roho ya Uthubutu alienda na akapata jamaa katika interview moja wapo ya hizo kupitia Database,hivo hapo ndo nilijifunza kuthubutu katika maisha na kutosikiliza maneno ya wanaoshindwa huko mitaani nikapiga kama interview 4 zote chalii written nilikuwa napanick kuna mda ila nikajiuliza nakosea wapi nikagundua maandalizi si mazuri basi nikalifanyia hilo kazi nashukuru Mungu pia anajibu jitihada zangu kwa kiasi chake mwaka huu nimefanya mbili na zote nimefanikiwa kuingia Oral na uzuri oral maswali yote yanajibika hivo uchache wa nafasi labda tu unachangia kutopata kituo ila naamini Database ni sehemu sahihi ya kuja kutokea kwa uwezo wa Muumba,hivyo basi si sahihi kukata tamaa kama huwezi kujiamini binafsi hakuna atakaekuamini hata kwenye biashara uta fail pia maana hutoweza shindana na competitors wako kupitia majina yao kwa kuhofia tu wewe huna muda kwenye soko.Kila la kheri.
 
Careless.

Hio kazi uli apply kwenyw website yao
Baada ya interview wanakuambia utembelee website yao.

Ni kwamba ulienda wewe physical au nyie ndio wale mjomba kakuambia kashapeleka jina?
 
Asante mkuu, japo ni changamoto, maana ni oral ya 4 na hawanipi kazi
Kuwa mvumilivu mkuu.. Me nilishazifanya nyingi hatimae last year nikaipata Ile ya tra.. Bahati nzuri nilikuwa tayari nina sehemu nzuri zaidi so skwenda kuripoti kituo cha Kazi. Utumishi kwa namna flani wako fair though kuna malalamiko ya hapa na pale kuwa huwa wanachomeka watu wao. Cha msingi wewe ni usikate tamaa kabisa.
 
Dah Utumishi bhana kwenye Oral ndo unaweza data unapigwa maswali unajibu vizuri yote unakutana na jamaa anakwambia mi hata sijui niichojibu huko ndani mnabadirshana # yanakuja majibu jamaa anakwambia kapata asa sjui wanatakaga nini kiukweli maana swala la mavazi na muonekano mtu hapa hukosei ila bado kuna muda jamaa wanakatisha Tamaa.
 
Hv kweli unaweza kuamini MTU umefanya written na kufaulu, akaitwa kwa ajili ya Usaili wa Mahojiano yet anakuambia hajajibu chochote na ww unamsikiliza kweli???
 
Boss ushawahi fanya oral za utumishi na unaelewa zinakuwaje huyu ni mtu wa karibu na sijakwambia kwamba hakujibu ila katika ule ukaribu niligundua kwamba jamaa kuna maswali alienda Op. na hili alithibitisha siku hiyo tupo nje tukijiandaa kuelekea home ila baada ya majibu nachojiuliza Utumishi wanaangalia kipi zaidi na wakati huwa wanauliza maswali ya darasani na si maswali ya general labda mtu unasema wanapima understanding,kuna bahati,na ridhiki lakini siamini sana katika hivi.
 
Mkuu hizo interview za Utumishi nazifahamu kuliko unavyofikiria..,
Mkuu kumbuka wote mnaoitwa kwenye Usaili huo wa Mahojiano wote mnasifa zinazowiana hivyo anaetafutwa ni yule tu ambae ataonesha utofauti kati ya nyie wote wenye sifa zinazofanana.
Utofauti huo utakuwa kwenye nyanja tofauti kutokana na Vigezo vyao wanavyovitumia katika kupata hao walio bora..,
Mathalani, Majibu ya Maswali ya darasani unapaswa kujibu kidarasani kwenye Mtihani wa kuandika, lakini unapoona umeulizwa Swali la darasani kwenye Usaili wa Mahojiano basi lijibu kama MTU mwenye tajiriba ya hicho kitu, na si kulijibu kwa kunakili hadi nukta kama ilivyo kwenye Makaratasi yako kwakuwa wote Mtatoa maana sawa kama Mlivyosoma hivyo hakutakuwa na utofauti wa anae juwa na asie juwa. Aidha yapo mengi unayopaswa kujitofautisha kwenye Usaili ili kuwa tofauti na Wasailiwa wenzako ingawaje kubwa ni kujiamini tu!!!
 
Shukrani mkuu nimekuelewa vyema.
 
Dah Utumishi bhana kwenye Oral ndo unaweza data unapigwa maswali unajibu vizuri yote unakutana na jamaa anakwambia mi hata sijui niichojibu huko ndani mnabadirshana # yanakuja majibu jamaa anakwambia kapata asa sjui wanatakaga nini kiukweli maana swala la mavazi na muonekano mtu hapa hukosei ila bado kuna muda jamaa wanakatisha Tamaa.
Aaah ndo ivyo nitaendelea kupambana nao tu
 
Kuwa mvumilivu mkuu.. Me nilishazifanya nyingi hatimae last year nikaipata Ile ya tra.. Bahati nzuri nilikuwa tayari nina sehemu nzuri zaidi so skwenda kuripoti kituo cha Kazi. Utumishi kwa namna flani wako fair though kuna malalamiko ya hapa na pale kuwa huwa wanachomeka watu wao. Cha msingi wewe ni usikate tamaa kabisa.
Hivi huwa wanaruhusu mtu kwenda kuangalia marks zako kama una dought za oral?
 
Back
Top Bottom