SuperHb
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 1,012
- 1,023
- Thread starter
- #21
Sehemu ya kwanza nimeweka vyeti vyoye ambavyo nishasoma chuoni na secondary....chini kwenye Transcript niweka vyeti vyenyewe ambavo vina matokeoMkuu, sehemu ya academic zimegawanyika..kuwa makini, kuna sehemu ya ku attach transcript, gamba, na cheti cha kidato cha nne,, ukichanganya hizo sehemu unakuwa umekosea.. Japo haikatai kuatach. Issue inakuja unapo omba kazi, itakuambia hujaweka cheti. Hilo tatizo liliwahi kunitokea