Kiukweli ZZK mimi nina wasiwasi nae tokea SAID KUBENEA alivyotoa habari za mawasiliano yake na wakuu wa serikali, alafu tokea WABUNGE hawa G. LEMA, TUNDU LISU, MSIGWA, MNYIKA, MDEE waingie ndani ya BUNGE wamemfunika vibaya mno kwa sababu chache tu, [1] WAKARI na hawachekicheki na WATAWALA katika...