ntemi masali
Senior Member
- May 20, 2013
- 136
- 26
kumbe machizi ccm yako mengi kiasi hiki??
Huyu jamaa ni mzushi,amejirithisha ukiBwetere
mbona siioni...
Yes kamanda mawazo ni ujasiliamali wa kuteka mabasi!! -- ha ha ha
Ujasiriamali wa mashaitwan wa kijani wa kushika bunduki raha sana![video=youtube_share;-HI-PUDZ2fY]http://youtu.be/-HI-PUDZ2fY[/video]
Hapa ndipo ntaonyesha uzalendo kwa chama changu natoa watoto wangu wote wa 3 wakalete mabadiliko uzuli wamekubali wenyewe.
Kambi ya Mbeya wapi,piga sana Karate ha,ha,ha,ha,ha.Vijana wa mtaani kwetu nimewapa taarifa wamefurahi xana teh,teh,teh gooo! CHADEMA.