Recent content by rkyaruzi

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kagera - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Hiyo siyo sahihi! Tujifunze kuheshimu demokrasia
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kagera - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Nimeambiwa na ndugu yangu huko Buyango, jimbo la Nkenge, matokeo kuwa Kata ya Buyango- CCM Bwanjai, Ruzinga na Kitobo _ Ukawa
  3. R

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Hizi nyuzi za matokeo hazijakaa vizuri !
  4. R

    JamiiForums Tanzania Badoo inanivunjia uchumba wangu

    Msamehe, muite mwambie ukweli. Achana naye. Usizipost picha zake, kuonyesha wewe ni mcha Mungu na mtu mwaminifu!
  5. R

    JamiiForums Tanzania Meya wa Bukoba (Dr. Amani) akanusha kujiuzulu!

    WANAOONGELEA KUWAJIBISHWA WANAJUA KUWA MEYA HATEULIWI? Pindi hawezi kikatiba kumsimamisha huyu jamaa, bali madiwani wakikaa wapige kura ya kutokuwa na imani naye, ndipo wamwangushe. Mtu asisemi CCM haijamtoa. Labda imfute uanachama!
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

    Ili uwe reporter mzuri usiwe biased! Maana mimi nakufuatilia na ni shabiki wa Zitto kabwe, jembe!
  7. R

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa dr. Lwaitama kuhusu sakata la Zitto na maamuzi ya kamati kuu ya CHADEMA

    ni kama nilihs Zito et al wanaonewa, lakn kwa uchambuzi wa Dr lwaitama ninaunga mkono maamuzi ya kuwasimamisha hawa wahaini!
  8. R

    JamiiForums Tanzania Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    binafsi nimeokoka na nina nguvu za Roho Mtakatifu! lakn nimepata wazo ambalo sijawahi ktmwambia mtu, ni kuwa kuna matukio hutokea na akili hukumbuka kuwa nilishayaona japo sitatjumbuka wapi na lini! ths is super natural power na zina oka kwa Mungu wala msimhusudu shetani
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tunda Hili Linaitwaje Kikwenu? Je unakula au...

    Ekivakedo
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu ananitaka kimapenzi

    Umekuwa inamtega na kumkalia vibaya nini?
  11. R

    JamiiForums Tanzania Benk ya crdb yashiriki katika ulaghai wa wateja wao.

    Ukipost Uzi kama huu jenga hoja Siyo unaishia hewani Hii ni kashifa kubwa tuache kuwa tunarukia mada jamani.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Video ya Lipumba Msikitini na Vyombo vya Dola

    Wewe ni pagan na Moto unakusubiri. Nilishajua kwa nini majini yana imani kama ya wapagani!
  13. R

    JamiiForums Tanzania hODiiiiiiiiiiiiiiii humu

    Almradi usijilipue km alshabab!
  14. R

    JamiiForums Tanzania wanaume usafi katika performamce ni muhimu,usilazimishe msanii aperfom na mic wakati ....hapaeleki.

    Ndo mmeishaambiwa kansa za midomo na koo zitawamaliza ninyi watu wa Uvinza na ramba ramba. Shauri yenu.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Bachelor of banking and finance IFM

    Nilimaanisha 'usiige marafiki WABAYA' na Siyo wahaya kama android ilivyochapia.
Back
Top Bottom