laana nyingine hz za dunia.kama nyie n punjabu sawa.
Sio kila kitu tuwe tunaisingizia bangi jamani, una uhakika gani kama huyo bwana anatumia au huyu dada ame mention wap kwamba kaka yake anavuta bangi? Jenga hoja ya msingi bwana.
-Colonial mentality! Hapa mzungu koko kahusikaje? Watoto wa Mulugo bhanaaa!Acha uongo
Du!!!! kwani amesema wao ni waislam? Mtoto wa mjomba na au mtot wa shangazi yako labda, mahali pengi inafikirika. Mtoto wa mama mkubwa sioooo! Kwa nini, kwa sababu mama ndiye peke yake anayejua mtoto huyu baba yake ni nani lakini yeye ndiye mama yake for sure kama hawakuchakachua pale muh2 au kwingineko wanakojifungulia. hajasema yote, huenda huyo mkaka alishachovya kidogo na kaona tamu yake mdada, si unajua mchovya hachovi x1? Ushauri wa kukaa kama ukoo ni mzuri maana kama kaka anataka kweli kuoa dada yake tena mkubwa kuliko yeye mama zao wanajua cha kufanya. YAANI KAMA STORY SIO YA KUTUNGWAIngelikuwa ni ndoa, basi dini ya Kiislam inaruhusu.
Lakini zinaa, hapana ruksa.
Mshinga taratibu huyo anayeongelewa ni Kidume cha mbegu ndio kinachomsarandia dada yakeKwani huyo dada yako ni beautiful?????Kama humtaki mlete kwangu wala hatakusumbua tena.
Kaka yako anakukazia kutokana na msimamo wako ungekuwa mkali asingekusumbua mtafutie rafiki yako sijajua umri wenu labda tatizo pia
Raha kula na nduguyo
Habarini wapendwa. Nimekuja mbele yenu mnipe mawazo. Me nina mdog wang mtot wa mama mkubwa ambae me namuita kaka, ananipenda sana. Me nimemkatalia bt haelewi yani ndo kma namchochea. Anasema ye hajui cha undugu wala nini, kikubwa moyo wake upo kwangu. Kiukwel najckia aibu kwa anavyofanya coz namuheshm sana. Na amejaribu kunywa sumu akaokolewa anadai eti kama cmtak atajiua. So nisaidien guyz me nataka TUHESHMIANE kma zaman yeye ni mdogo wangu. Pia me sitak kuwa ktk mahusiano kwasasa hata kama asngekuwa ndugu yangu! Help plz.
Ingelikuwa ni ndoa, basi dini ya Kiislam inaruhusu.
Lakini zinaa, hapana ruksa.