Recent content by Riziki Mohammed

  1. R

    Mbona uchangamfu wa hawa Members Wapenzi humu JF kila siku unapungua? Tatizo ni nini labda?

    Ipo mahala pake kabisa. Kama hujaelewa pengine ww ndio mtumiaji wa gongo na bange unless umezijuaje? au utakuwa unajua tu kusoma ba kuandika...sasa miandiko ya wasomi km sisi kwako ni giza
  2. R

    Sauti yaleta balaa..

    Kasie ni jikahaba flani tu kupitia mgongo wa ajira...jamani acheni wenye vyeti washike hizo nafasi kuliko kujilimbikizia miajira.
  3. R

    Kuna haja ya Kuruhusu JWTZ - Operation Kibiti?

    Hivi unaanzaje kuniambia ati nisijibu...naomba kiongozi wa msafara wako tafadhali. Anyway, kwa kifupi ujinga. Zama hizi hatutishiani
  4. R

    Kuna haja ya Kuruhusu JWTZ - Operation Kibiti?

    Wewe ni nani uniamrishe nisijibu hapa nchini! Nimecheka sana
  5. R

    Kuna haja ya Kuruhusu JWTZ - Operation Kibiti?

    Baki na ukamanda wako, ccm mbele kwa mbele.
  6. R

    Hatimae Pedeshee Ndama akiri kutakatisha fedha

    sasa mtu mwenyewe kumbe ni mtoto wa ng'ombe, sasa tangu lini mtoto wa ng'ombe akakataa kuswagwa kwenda kisimani??
  7. R

    Kuna haja ya Kuruhusu JWTZ - Operation Kibiti?

    mie Riziki Mohammed, huyo Maiko mrudishe mfukoni mwako. Kwanzan una cheti? haiwezekani ukosee hadi jina la mtu mbele ya kioo chako.
  8. R

    Makonda awaponza Star Tv na Sahara Media mbele ya TEF

    nisiquote kwani we magufuli?
  9. R

    Makonda awaponza Star Tv na Sahara Media mbele ya TEF

    wewe jifanye tu unaishi kwenye nchi ya kufirika, halafu nyie uvccm mtatetea matumbo ya baba zenu hadi lini?
  10. R

    Kuna haja ya Kuruhusu JWTZ - Operation Kibiti?

    Wanajeshi wenyewe wako busy tutest vi vitz vyao vya mikopo...yaan niache kuendesha ki vitz changu barabra ya nyerere ati niende kibiti nikawide wanaoua viongozi wa ccm, kwani mie ni ccm? mie ni serikali...nimeajiriwa na serikali...angekufa mwananchi ningeenda fasta.
  11. R

    Hawa ma bilionea wa Kibongo mbona hawana Private Jets wala Yachts?

    Ushuru mkubwa...sasa hata kuingiza kipajero tu unadai ushuru wa bei ya Vitz...unategemea ntakuelewa hata kama nina hela?? mbona nikashinde angani nchi za watu kama shida ni helcopter. Yatch utaishia kuziona tu kwenye video za kina domo hadi unyooke ewe mtanganyika
  12. R

    Mbona uchangamfu wa hawa Members Wapenzi humu JF kila siku unapungua? Tatizo ni nini labda?

    Sasa kama wameshafika bei kwa vitisho vya baria uchwara za polisi, mwendo ikawa ni kumerge thread, pia wakajivumbulia kateknolojia ka kufilter thread isiweonekane na wengi hasa kama inakosoa serikali (yaan hawafuti kithread chako, ila hupewi shavu, yaani ni Clouds & Bashite Style)...ww...
Back
Top Bottom