Kuna haja ya Kuruhusu JWTZ - Operation Kibiti?

Kwahyo tusitumie Jwtz kisa itaonekana nchi imekuwa na insecurity??? Ssa kwanni wasije hao JWTZ wakalizima mapema suali hili kuliko hawa polisi wanaochinjwa kma kuku??? Yaani image ndio priority kuliko maisha ya watu!!! Kaz kwelikweli

Ukiijadili hii mada Kwa mlengo wa siasa na mihemuko utakosea tu.

Na ndiyo maana basi hata nilichoandika hapo kwanza hakikuelea.
 
Polisi wamewapa raia amri ya kutotembea kuanzia saa 12 jioni kule Kibiti, Mkuranga na Ikwiriri. Wakati raia wanaingia majumbani kwao nyakati hizo za magharibi, polisi nao wanaingia kwenye mahema yao na kuwaacha magaidi wakitembea kwa uhuru na hivyo kumuua yeyote wamtakaye bila upinzani wowote.
Hahahahaaaaaa aiseee nimecheka sana
 
Hili ni swala la kiintelijensia zaidi, bado tatizo halijakuwa kiasi hicho kukaribisha maguvu ya jeshi.
 
Wakuu ni wazi kuwa tunakoelekea Sasa Tanzania inaface insecurity kama Kenya Ambapo Askari wana popolewa kila na Alshaabab

Namshauri Rais na Timu yake ni wakati wa Kutumia Elite Special special force kama ya JWTZ Nina Imani tutauangamiza Mtandao wa Wahalifu hasa eneo la Kibiti.

Tumechoka na watu wanaua Askari wanapora silaha 8, Halafu siku hiyo hiyo Mtu anakuja kudanganya kwenye media kuwa tumeyakamata silaha ni kweli Unapunguza tension kwa wananchi lakini Mioyoni mwenu Mnajua Kua hamjakamata Silaha yeyote.

Pia Kiwepo kikosi cha Kuchunguza kwa Nini wanaouwawa ni watu wenye mahusiano ya Moja kwa Moja na Chama cha Mapinduzi Chuki hii imesababiswa na Nini na Imeanzia wapi?

Nina amini Military Operation ya JWTZ itazaa Matunda kwanza huwa wako friendly sana na Raia ulilinganisha Polisi.

Hata Nchi Za Uingereza Ni Mara Kibao (Special Air Services) SAS na US Marine na Navy Seal Wanatumika kwenye Majanga Mbalimbali.

View attachment 511125 View attachment 511126
View attachment 511128
Ni vigumu sana kupigana na adui usiye mjua..
 
Kwani jwtz ndio watafanya nini
Kwani umeambiwa kuna waasi kule ,au vita
Walitumika mtwara kipindi cha kuzuia Gesi,Ngorongoro kipindi za majambazi ya kisomali ,Arusha majambazi ya bank,Dar magari yao yakipita tuu watu wananywea kuandamana
 
Jeshi lina utaalam wakukusanya inteligence kwaajili ya vita. Sidhani kama kuhoji raia ni taaluma yao.
Kwenye hilihili jeshi la polisi kuna watu sema vipaumbele vya viongozi wao ndio vinaweza kuwa tatizo.

Nakumbuka kuna askari mmoja alimkomalia mke wa mheshimiwa flani hivi kwa issue ya sheria barabarani ikasemekana apandishwe cheo.
Sasa imagine anakutana na msala kama huu!!!!
Siasa imeliharibu sana jeshi la polisi.
Ukimkomalia Manji akalala ndani unapanda cheo.
Ukimkomalia Mbowe, unakula mbavu tatu.
Ukimkamata Lema kibabe, mkuu anakupandisha cheo mwenyewe!

Hapo ndio utakuta misfit leaders kibao kwenye jeshi!
Hili jeshi lililoko sasahivi lisivunjwe, lifanywe blue gurd, vichambuliwe vichwa vinavyojitambua tuunde jeshi linalojali qualifications na professionalism.
Jeshi Lina hao watu wa intellejensia usifikili jeshi kazi yao ni kurusha risasi tu
 
Kwa maana hiyo jeshi la polisi limekiri kushindwa kuwakabili majambazi wenye silaha? Basi wabaki mjini kupiga risasi hovyo hewani za kuwatishia wananchi.
 
Polisi wamewapa raia amri ya kutotembea kuanzia saa 12 jioni kule Kibiti, Mkuranga na Ikwiriri. Wakati raia wanaingia majumbani kwao nyakati hizo za magharibi, polisi nao wanaingia kwenye mahema yao na kuwaacha magaidi wakitembea kwa uhuru na hivyo kumuua yeyote wamtakaye bila upinzani wowote.
Wanajeshi na polisi wanamiili kama wewe na adui hajulikani hivyo wanaviziana hawezi kuwa kwenye hema.
 
Wanakwenda kupambana na nani?kinachotakiwa ni upelelezi makini ili kutambua wahusika si kupiga raia na kuwalaza saa 12,hakuna majibu mpaka sasa na amri ipo.Hawa wanaofanya sasa inawezekana ndio chanzo cha tatizo wanashindwa kujikosoa kama ni jeshi liende kiupelelezi ai kufanya wanachofanya polisi kutesa raia mijini adui anaua maporini si mjini walikojaa wao.
 
Ata JWTZ wataingilia kati pasipo kupata ushirikiano kutoka kwa wananchi ili kuwafichua wahalifu bado mambo yatakuwa yaleyale
 
Wanajeshi wenyewe wako busy tutest vi vitz vyao vya mikopo...yaan niache kuendesha ki vitz changu barabra ya nyerere ati niende kibiti nikawide wanaoua viongozi wa ccm, kwani mie ni ccm? mie ni serikali...nimeajiriwa na serikali...angekufa mwananchi ningeenda fasta.
 
alafu watu hawaijui shughul ya tpdf mmesahau operation kimbunga? watu walikatwa makario yangu.macho.muwaache polisi wafanye kazi yao hatujafikia huko
 
Wanajeshi wenyewe wako busy tutest vi vitz vyao vya mikopo...yaan niache kuendesha ki vitz changu barabra ya nyerere ati niende kibiti nikawide wanaoua viongozi wa ccm, kwani mie ni ccm? mie ni serikali...nimeajiriwa na serikali...angekufa mwananchi ningeenda fasta.
mike acha izo bhana twenzetu tukawachape mdeki awo wasumbufu wa kibiti...vitz ipo tuu utaiendesha twenzetu mike....
 
Wakuu ni wazi kuwa tunakoelekea Sasa Tanzania inaface insecurity kama Kenya Ambapo Askari wana popolewa kila na Alshaabab

Namshauri Rais na Timu yake ni wakati wa Kutumia Elite Special special force kama ya JWTZ Nina Imani tutauangamiza Mtandao wa Wahalifu hasa eneo la Kibiti.

Tumechoka na watu wanaua Askari wanapora silaha 8, Halafu siku hiyo hiyo Mtu anakuja kudanganya kwenye media kuwa tumeyakamata silaha ni kweli Unapunguza tension kwa wananchi lakini Mioyoni mwenu Mnajua Kua hamjakamata Silaha yeyote.

Pia Kiwepo kikosi cha Kuchunguza kwa Nini wanaouwawa ni watu wenye mahusiano ya Moja kwa Moja na Chama cha Mapinduzi Chuki hii imesababiswa na Nini na Imeanzia wapi?

Nina amini Military Operation ya JWTZ itazaa Matunda kwanza huwa wako friendly sana na Raia ulilinganisha Polisi.

Hata Nchi Za Uingereza Ni Mara Kibao (Special Air Services) SAS na US Marine na Navy Seal Wanatumika kwenye Majanga Mbalimbali.

View attachment 511125 View attachment 511126
View attachment 511128
Safi Sana Hapa Nimeona Great Think Nakubaliana Na wewe 95%
 
Back
Top Bottom