Wana jamvi utabiri wa kifo cha ccm alio wahi kuutoa mwalimu nyerere unaelekea kukamilika,dalili zote zipo wazi maana laana za wazee waasisi wa ccm akina mzee warioba na butiku zinakwenda kukiangamiza ccm,laana za wasomi waaminiefu na weledi prof kabudi,prof mpangala na dr lwaitama sasa hakuna...