Karibuni Muheza makamanda wote Tanzania

Karibuni Muheza makamanda wote Tanzania

Leo BAVICHA tunakutana Rwele Club asubuhi hii....karibuni
 
kama itakuwa kweli tunawatakia mafanikio mimi nlisoma Mdote enzi hizo nakumbuka Muheza ilikuwa maccm tu ckuwahi kuona upinzani wowote
 
Muheza hakuna chadema maana hawajui hata idadi ya wanachama wao. Hata msaada mmoja kwa jamiii hawana bwana mzuri ni yule anaekutunza vizuri Alafu ndo akuoe
 
Back
Top Bottom