Aisee nimesoma hapo aliposema kumtimua huruma ikaniisha kabisa huenda tabia yako ndiyo inampeleka mumeo kufanya hivyo jitafakari kwana ndiyo ufanye maamuzi. Wewe unaweza jikuta unatimua kila mwanaume.
That's Good na wewe ndiye mzazi unayejua namna ya kukagua mji wako kama hukuwa na nia mbaya wee mwambie tuu wife ulichoona ila swala la soksi potezea chukua soksi zako ili wife aweze kumsaidia nawasilisha.
Mimi ni kijana ninajitegemea na kipato cha wastani nahitaji mwanamke mwenye miaka tajwa hapo juu wa kudate naye mimi nina miaka 31 hawa wa chini wengi wao sivutiwi nao kwa aliye tayari ani PM
Aiseeeeeee kuna mahali tulikuwa tumepanga sasa wanawake huwa wanatabia ya kuanika vyupi njee walikuwa wanasema wakianika hawazikuti maana hapo kwenye hiyo plot na mm nilikuwa na wa kunipoza basi kutakuwa na aliyekuwa na tabia ya kuzichukua daah
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.