Hii tabia ya kupima HIV kwa mtu ninayo sana,Mwaka Jana my girlfriend alipima akawa HIV-,Hapa katikati nimeuza mechi kibao za hatari,Mchepuko ukaniambia umepima nao ni HIV-,Juzi kati my Gf akawa anaumwa,sikuwa na amani,na bado hajapima,ila sina imani!