Rivarcardo
Member
- Jun 22, 2016
- 13
- 14
Alex Ngussa ni miongoni mwa watangazaji bora kuwahi kutokea nchini Tanzania, kwa waliowahi kumsikia akiwa katika ubora wake Redio Free Africa, mwanzoni mwa miaka ya 2000,watakubaliana na mimi.
Alikuwa akitia nakshi kwa matumizi yake ya lugha adhimu ya kisukuma.Ni muda mrefu sijamsikia na ningependa kujua yuko wapi kwa sasa na anafanya nini?Ni kipaji adhimu cha utangazaji ambacho bado kinahitajika katika tasnia yetu ya habari..