Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,068
- 151,315
Akionge muda mfupi uliopita katika kipindi cha Mada Moto kinachorushwa na Channel 10,mwanaharakati Renatus Mkinga amewaonya watanzania kutopeleka watoto wao kwenda kusoma chini Kenya na Uganda kwa madai kuwa wanaenda kulawatiwa na amesema ushadi anao.