Habari ndugu zangu ,Tunapatikana Mbeya Vijijini kwa mahitaji ya viazi mviringo aina ya Obama ,Wasiliana nasi ,Gunia kwa sasa bei ni sh 30,000 ,Unafika mpaka shambani unaangalia viazi ukilizika/ukivipenda tunafanya biashara ,Kwa wahitaji njoo DM tuongee nikupe na mawasiliano yangu.
Hilo tatizo lilinisumbua sana kipindi naanza kufuga kuku solution ni hizi
1.Akikisha kuku wako anahatamia bila kupata bugudha ya kuku wengine hii inasababishwa endapo utakuwa na kuku wengi wanaokaa kwenye banda dogo.
2.Weka dawa ya kuua wadudu kwenye viota vyao coz wadudu husumbua kuku na...
Vijana wengi tunapenda sana kujiajiri lakini swala la kujiajiri sio jambo dogo kama tunavyoambiana humu kwenye majukwaa ni kitu kinachoitaji utayari wa akili na mwili, so siku za hivi karibuni watu wanataka kujiajiri kwa sababu mtu fulani kajiajiri akafanikiwa, Kujiajiri kuna changamoto nyingi...
Natumai ni wazima wa afya
1. Naomba msaada wenu sehemu gani yaku attach cover letter kwenye recruitment portal ?
2. Cover letter hizi tunaandika kwa mkono au tunachapa?
Niwatakie Jumapili njema, Kuna tatizo linanisumbua kutokana na kuku wangu wa kienyeji kutaga sehemu moja kwa pamoja (Kuku wawili hata watatu wanataga kwenye kiota kimoja). Nimejaribu kuweka viota vingi kwa ajili ya kutaga lakini bado wanalundikana kwenye kiota kimoja. Naombeni msaada wakuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.