Recent content by Richman Morenje

  1. Richman Morenje

    Kubadilisha Muundo wa utumishi

    Wana JF, mwenye uelewa na hili naomba ufafanuzi tafadhali. Hivi? kwa mwalimu aliyejiendeleza kitaaluma kutoka ngaz ya cheti hadi shahada ya ualimu, inamchukua muda gani ili abadilishiwe Daraja lake au Muundo wa utumishi.
  2. Richman Morenje

    Ushauri kuhusu biashara ya spea za pikipiki

    Hello wana JF. Mwenye kuwa na utaalamu/ujuzi kuhusu biashara ya spea za pikipiki anipatie maelezo au idea kidogo labda mtaji kama kiasi gani? Changamoto zake na faida zake.
  3. Richman Morenje

    Kwa taarifa yenu mabadiliko mwaka huu hayazuiliki

    hatuyumbishwi Lowassa ndie our next psesident after Kikwete
  4. Richman Morenje

    Picha ya overview Ukawa Mwanza na CCM Jangwani Dar

    ukawa juu...hiyo mikijan inang'ang'a....kumbe hamna watu....ukawa mwanzavutitiri wa watu
  5. Richman Morenje

    Picha ya overview Ukawa Mwanza na CCM Jangwani Dar

    ukawa juu...hiyo mikijan inang'ang'a....kumbe hamna watu....ukawa mwanzavutitiri wa watu
  6. Richman Morenje

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo Karatu Arusha. idara shule ya msingi, nije Moshi popote.. mawasiliano 0753829782. AU 0752378284
  7. Richman Morenje

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi Mwl.. karatu - Arusha.. idara msingi. nataka wakubadilshana name wa moshi popote. mawsiliano 0753829782
  8. Richman Morenje

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nipo Rombo mkuu, idara msingi. Kilimanjaro. Nataka tubadilishane na alie Moshi manispaa au Arusha-Tengeru, mawasiliano 0753829782
  9. Richman Morenje

    Mkutano wa CHADEMA Arusha - Nov 29, 2013

    amesema hela ipo hivyo wazazi wasichangishwe kwa kuwanufaisha wengine. soma habari na kuielewa ww.....
  10. Richman Morenje

    Dr slaa ziarani katika mikoa ya shinyanga, Kigoma, Tabora na Singida.

    ndio maana huna amri. hayo ni maoni nna maamuzi yako kafanyie chumbani maana huna jipya.
  11. Richman Morenje

    Dr slaa ziarani katika mikoa ya shinyanga, Kigoma, Tabora na Singida.

    atatembea kote hadi kwako na kwa ziti msaliti
  12. Richman Morenje

    Dr slaa ziarani katika mikoa ya shinyanga, Kigoma, Tabora na Singida.

    ww sio chadema acha kelele. unajua nini ww au ni walewale msiopenda kuwajibishwa? mkamateni kapuya jirani yenu hapo tabora.
  13. Richman Morenje

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mm nipo idara ya sekondar, Anaetaka Arusha USA river me natakanibadilishane na aliemwanza. 0753829782
  14. Richman Morenje

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mm nipo idara ya sekondar, Anaetaka Arusha USA river me natakanibadilishane na aliemwanza.
  15. Richman Morenje

    Ajira

    Hebu tuelekezane wandugu tuliomaliza ngazi mbalimbali za Elimu ajira kwa sasa inakuwaje!
Back
Top Bottom