Richman Morenje
Member
- Jul 15, 2013
- 19
- 5
Hello wana JF.
Mwenye kuwa na utaalamu/ujuzi kuhusu biashara ya spea za pikipiki anipatie maelezo au idea kidogo labda mtaji kama kiasi gani?
Changamoto zake na faida zake.