Recent content by RICHMAHOO

  1. R

    JamiiForums Tanzania Halafu mnajidanganya eti hana Washauri wazuri!

    mara Paap unasikia Ruge kafariki.lisu anabahati hakuchangiwa na huyu jamaa maana kama angepokea mchango wa jiwe asingetoboa pale Nairobi hospital
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kutoka Singida: Rais Magufuli aweka jiwe la Msingi ujenzi daraja la Sibiti; akemea viongozi kuchongeana

    heri yake yeye anaejiona anadhambi ndogo. kulea wasio julikana nayo ni dhambi ndogo pia.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya utekelezaji wa sheria ya kodi jana, nasubiri ile sheria ya matibabu ya Lissu

    acha kujificha kwenye kivuli cha madawa isue hapa ni kutokufuata sheria na kukwepa kodi hayo mengine ni kichaka tuu.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Makinda azungumza na waandishi; afafanua jina lake, akataa kuomba radhi

    Kanatakiwa kaende loliondo kwa babu kwani kana kaugonjwa cha ukosefu wa busara
  5. R

    JamiiForums Tanzania pinda apokewa na mabango yanayoishutumu CHADEMA

    kashanga wewe ni ******.**** la mama yako. unaleta mambo gani kuku wewe.imeniuma sana na nimelazimika kukutukana kwa sababu hasira ikizidi uvumilivu unakwisha. nisamehe kwa kukuambia ukweli.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri Kukutana Jumamosi

    wanachotakiwa kukifanya ni kumkemea rais aache ufisadi pia aombe ushauri kwa watu makini kama Dr.slaa na wengine na ausikilize na kuutekeleza
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mbona makamba ametulia kiasi hicho.

    nimeshangaa sana kuona katibu mkuu wa ccm kukaa kimya kihivyo hivi amzima kweli au anaumwa?
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mbona makamba ametulia kiasi hicho.

    Washikaji wapi makamba mbona asikiki? au kamuachia mwanae januari makamba aropoke kwa niaba yake. wana jf naomba mtujuze alipo huyu popo bawa.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ziara ya dr. Bilal (Mbeya) yadoda

    Bado sijamjua vizuri huyu BIlali Hebu mnikumbushe nafasi ya yake katika uongozi wa taifa yeye ni nani na utambulisho wake ni upi?mnisamehe kwa kuomba kumjua bilali
  10. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na tishio la Tendwa kukifuta Chama kisa Maandamano/M4C

    ni furaha gani ya ajabu tutaipata watakapo amua kuifuta chadema. futa hata kesho kwani itatupa hari ya kuupata ukombozi wa kweli na tutaingia barabarani bila wasiwasi wowote tunaomba waifute ili watupe nia ili tuweze kuandamana kwa amani
  11. R

    JamiiForums Tanzania Zitto apendekeza Dowans itaifishwe; Serikali yapinga! Mgao waendelea...

    wewe unajua?
  12. R

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Chadema yatishia Serikali ya CCM madarakani

    tunamuomba uvumilivu wake uishe hata leo apige mabomu yake. m--s--e---n--g---e yeye na pi-nda wake.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli chadema ni chama cha kindugu

    kweli ni chama cha kidugu na kinahimiza umoja kwani sisi watanzania wote ni ndugu,na chadema kinatuunganisha kama ndugu.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Sophia Simba aifagilia CHADEMA

    hadi huyu muwaza ngono kaweza kufikiri na kujua sababu ya watu kukikataa chama chake?basi ugumu wa maisha ni kipimo cha akili. CHADEMA endelea kukaza buti tutafika
Back
Top Bottom